• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Maboma Yaliyojengwa Kwa Nguvu za Wananchi Yatakiwa Kukamilika

Imewekwa: October 29th, 2022

Mwenyekiti wa Bodi ya Afya  ya Halmashauri ya wilaya ya Bukombe Ndg. Kelvin Makonda ameutaka uongozi wa Idara ya afya  kuhakikisha maboma 51 ya zahanati pamoja na vituo vya afya yaliyojengwa kwa nguvu za wananchi yanakamilika ili yaweze kutoa huduma kwa wananchi.

"Wananchi wetu wamejitolea nguvu zao ili waweze kupata huduma za afya karibu. Kwa kutumia vyanzo vyetu vya ndani maboma haya tuyape kipaumbele ili yaweze kukamilika."

Makonda ameyasema hayo tarehe 29 Oktoba, 2022 wakati wa kikao cha Bodi ya Afya ya Halmashauri kwa ajili ya kupitia na kujadili taarifa za utekelezaji kwa kipindi cha robo ya kwanza julai - septemba kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

Akijibu hoja ya upungufu wa watumishi katika vituo vya kutolea huduma za afya Mganga Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Dr.Deograsia Mkapa amesema kwa mwaka wa fedha 2021/2022 serikali kupitia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeajili watumishi 53 wa sekta ya afya na tumekwisha wapanga kwenye vituo kulingana na mahitaji yaliyopo.  Hata hivyo bado tunaendelea kuiomba serikali iendelee kutupatia watumishi.

Vile vile  aliendelea kusema kuwa kwa upande wa upatika wa dawa na vifaa tiba kwa mwaka wa fedha 2022/2023  kwa kipindi cha robo ya kwanza  ni asilimia 93 na wananchi wetu wanaendelea kupata dawa salama na zilizo na ubora kwa wakati.

Katika taarifa ya utekelezaji wa shughuli za lishe  alisema halmashauri imeendelea kutekeleza shughuli za lishe ambapo jumla ya shilingi milioni 13 zimetumika na tumefanikiwa  kuwafikia watoto 65,408 wenye umri kuanzia miezi 6 hadi 59 ambao wamepatiwa Matone ya nyongeza ya vitamini A sawa na asilimia 108 zaidi ya lengo la watoto 60,588 waliotakiwa kufikiwa.

Akiongea kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji  Dr.Mkapa aliwajulisha wajumbe wa bodi ya afya kuwa bodi imemaliza muda wake.

"Bodi ya afya imemaliza muda wake  tunawashukuru kwa kuhudumu na sisi kwa muda wa miaka mitatu na tunawakaribisha kuomba tena ili muweze kuhudumu kwa kipindi kingine."

Katika kikao hicho taarifa zilizojadiliwa ni pamoja na utekelezaji wa shughuli za Idara ya afya kwa kipindi cha Julai - Septemba, 2022 pamoja na mikakatia ya Idara ya afya, ustawi wa jamii na lishe kwa mwaka wa fedha 2022/2023.




Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa