• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Madiwani Bukombe watambua mchango wa Padri Salvatory Guerrera.

Imewekwa: May 17th, 2017

Katika Mkutano wa Baraza la Madiwani wa kupokea na kujadili taarifa za utekelezaji kwa kipindi cha robo tatu, waheshimiwa madiwani wametoa cheti cha shukurani kwa kutambua mchango wa shughuli za maendeleo zinazofanywa na Padri Salvatory Guerrera wa kanisa la Katoliki parokia ya Kabuhima . Padri Salvatory amekuwa mshiriki na mdau mkubwa wa shughuli za maendeleo wilayani Bukombe,akiwa amejikita katika kutoa huduma za kielimu,Maji na afya. Katika sekta ya elimu Padri Salvatory  amejenga vyumba vya madarasa viwili,jengo la utawala la shule ambalo lipo katika hatua za ukamilishaji na choo cha matundu 4, madawati 35 na misingi 8 ya vyumba via madras katika shule ya musing Lulamba ambayo ni shule shikizi ya Musasa. Pia sekta ya maji amejenga visima virefu katika kata ya Busonzo,Runzewe Magharibi,Uyovu, na Bugelenga wilayani Bukombe.

Padri Salvatory ameshukuru baraza la madiwani kwa kutambua mchango anaotoa kwa jamii ya Bukombe had kumualika kwenye Mkutano na kumpa Tuzo ya Heshima"Hakika nimefurahishwa sana na tukio hili limenifanya nami nijione sasa ni mwanabukombe rasmi, sabbat nilikuja Wilayani Bukombe mwaka 2000 katika kanisa la katoliki parokia ya Kabuhima kutoa huduma ya kiroho lakini nikaguswa kushiriki katika shughuli za maendeleo kwaajili ya jamii ya wananchi wa Bukombe wenye huhitaji wa huduma mbalimbali" amesema Padri Salvatory.

Aidha  Baraza la Madiwani limetambua shughuli za maendeleo zinazofanywa na shirika la Msalaba Mwekundu wilayani Bukombe,Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe.Safari Nikas Mayala amemkaribisha msimamizi wa miradi mbalimbali wa shirika hilo Bi.Ritha Chusi katika Mkutano huo. "Tunatambua shughuli nzuri za maendeleo na elimu mnayotoa kwa wananchi wetu wa wilaya ya Bukombe na sisi kama wawakilishi tunafarijika sana kuona mashirika mbalimbali yakisaidia wananchi wetu,tunawatambua na tunawashukuru pia tunakaribisha mashirika mengine kuja kusaidia wananchi wetu kupata maendeleo" amesisitiza Mhe.Mwenyekiti. 

Msimamizi wa miradi ya shirika la msalaba mwekundu(Redcross)  Bi. Rita kwa niaba ya shirika amepokea shukrani za waheshimiwa madiwani za kutambua mchango wa shirika hilo,na ameeleza kwa kifupi kuwa shirika linaendesha miradi ya kujenga jamii bora,kuwapa faraja waathirika wa ugonjwa wa Ukimwi, pia kuendelea na kutoa elimu ya kupunguza maambukizi ya virusi vya Ukimwi na kutoa msaada kwa waathirika na kwa watoto yatima wilayani Bukombe.

 Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Josephat Maganga akimkabidhi Padri Salvatory Guerrera Tuzo ya Heshima,Shukrani na Utambuzi.

 Padri Salvatory Guerrera wa kanisa Katoliki Parodia ya Kabuhima wilayani Bukombe akijitambulisha katika Mkutano wa Baraza la Madiwani.

 Waheshimiwa Madiwani wakisikiliza historia fui ya Padri Salvatory Guerrera wa kanisa Katoliki Parodia ya Kabuhima.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa