• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mbunge Doto Awapiga Jeki Wananchi wa Kata Ya Katente.

Imewekwa: July 21st, 2019

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe, Doto Mashaka Biteko ambae pia ni Waziri wa Madini akikabidhi fedha kwa Diwani wa
Kata ya Katente Mhe. Bahati Kayagila kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa na Zahanati.


Diwani wa Kata ya Katente Mhe Bahati Kayagila akiwaonyesha wananchi fedha baada ya kukabidhiwa na Mhe. Doto Mashaka Biteko(Mb).


Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe, Doto Mashaka Biteko akizungumza na wakazi wa Katente.

 Diwani wa Kata ya Katente Mhe Bahati Kayagila a kizungumza na wakazi wa Katente.



Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe, Doto Mashaka Biteko baada ya kupokea zawadi ya asali kutoka kwenye uongozi wa Kata ya Katente.


Wananchi wa kata ya katente wakimskiliza Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe Doto Mashaka Biteko .



Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mkoa wa Geita Doto Mashaka Biteko ambae pia ni Waziri wa Madini amewaunga mkono wananchi wa kata ya Katente Wilayani hapo kwa kutoa milioni 4.8 kwa ajili ya Ujenzi wa vyumba vya madarasa na Zahanati.Biteko katika uchangiaji huo ametoa mifuko 100 ya saruji yenye thamani ya sh 1.8 milioni kwa ajili ya kuongeza nguvu ya ujenzi wa Zahanati kijiji cha Bwenda na milioni tatu kwa ajili ya ukamilishaji wa vyumba vya madarasa shule ya msingi Bomani. 

Awali Afisa Mtedaji wa Kata ya Katente Issa Shaban kutoa taarifa kwenye mkutano wa hadhara wa Mbunge wakati wa ziara yake kata ya Katente.Shaban alisema wananchi wamechangia sh milioni 4 na kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati na kubainisha kuwa wananchi wanapata huduma za Afya kwenye hospitali ya Wilaya.  

Kwamjibu wa Diwani wa Kata ya Katente Bahati Kayangila alisema wananchi wamechagia sh milioni 6 huku awali Serikali ilitoa Sh milioni 8 na kujengwa hadi hatua ya reta na wananchi kusubili serikal iwasaidie ukamilishaji wa jengo hilo.Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo la Bukombe Doto Mashaka Biteko aliwaomba wananchi kuhakikisha wanashirikiana kwenye miradi ya maendeleo ili kuijenga Wilaya ya Bukombe. 

Biteko alisema wakati wa siasa bado na kwamba kazi yake ni kuhamasisha maendeleo na kuchangia nguvu za wananchi ambao wako tayali kuibuwa miradi kwa kuchangishana na kujitolea nguvu zao.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa