• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Miongozo Ikalete Mabadiliko Chanya

Imewekwa: September 23rd, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe Said Nkumba amewataka wakuu wa shule, walimu wakuu pamoja na wadau wa elimu kuhakikisha wanaleta mabadiliko chanya katika shule za msingi na sekondari kupitia Miongozo ya Uboreshaji wa Elimu.

"Hakikisheni mnasimamia masuala ya ufundishaji na ujifunzaji kupitia Miongozo ya Uboreshaji wa elimu ya Msingi na Sekondari ili iweze kuleta mabadiliko chanya ya kututoa hatua moja na kutupeleka hatua nyingine."

Nkumba ameyasema hayo wakati wa zoezi la uzinduzi wa Miongozo ya Uboreshaji wa Elimu ya Msingi na Sekondari katika halmashauri ya Wilaya ya Bukombe.

Akiongea katika zoezi hilo Kaimu Afisa Elimu Msingi Wilaya Kassim Mussa amesema Serikali imekuwa ikifanya jitihada mbalimbali katika kukabiliana na changamoto zinazoikabili sekta ya Elimu nchini. Katika mwaka wa fedha 2022/2023 Serikali imeandaa na kuzindua Miongozo ya Uboreshaji wa elimu ambayo ni Mkakati wa kuimarisha ufundidhaji na ujifunzaji ngazi ya elimu Msingi, Mwongozo wa Uteuzi wa Viongozi wa Elimu katika Mamlaka za serikali za Mitaa na Changamoto katika Uboreshaji wa Elimu Msingi na Sekondari, Nini kifanyike?

Kwa upande wake Mkuu wa shule ya sekondari Busonge ameishukuru serikali kwa kutoa miongozo ya elimu kwani itakuwa ni dira ambayo itasaidia kuleta ufanisi wa kazi katika shughuli zetu za kila siku.

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe ina jumla ya shule za Msingi 94 za serikali 89 na binafsi 5 zenye jumla ya wanafunzi 106157 wavulana wakiwa ni 52468 na wasichana 53689 na shule za sekondari 23 za serikali 19 na binafsi 4 zenye jumla ya wanafunzi 15989 wavulana wakiwa 8140 na wasichana 7849.

#Kasi ya Samia Bukombe
#Kazi Iendelee.

Matangazo

  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba December 02, 2022
  • Ufafanuzi wa Habari iliyochapishwa kwenye tovuti ya Mwananchi Communication ltd October 13, 2021
  • Tushirikiane kuzuia Polio kwa kumpleka Mtoto kupata chanjo ya matone. May 07, 2022
  • Tangazo la Kazi October 13, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Dkt. Mkenda Ahaidi Kujenga VETA Wilaya ya Bukombe

    October 09, 2022
  • Uzinduzi wa Dirisha la Maombi ya Samia Scholarship

    September 27, 2022
  • Walimu Ajira Mpya Wapata Semina Elekezi

    September 27, 2022
  • TFS Yakabidhi Madawati 100

    September 26, 2022
  • Tazama zote

Video

Mweka Hazina na Wahasibu watakiwa kutimiza wajibu wao
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa