• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Walimu wa Michezo Watakiwa Kuibua Vipaji

Imewekwa: February 19th, 2022

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe lutengano Mwalwiba amewataka walimu wa Michezo shule za Msingi na Sekondari Wilaya ya Bukombe kuhakikisha wanashirikiana kwa pamoja kwa kuwaunganisha wanafunzi katika michezo ili waweze kuibua vipaji.

Mwalwiba ameyasema hayo wakati akikabidhi mipira miwili yenye thamani ya shingingi 120,000 kwenye timu ya michezo ya Runzewe sekondari na Katente sekondari wakati wa michezo ya kirafiki katika viwanja vya shule ya sekondari katente

Kwa kufanya hivyo walimu wa michezo watakuza Taaluma zao na wanafunzi watakuza vipaji.

Wakati akipokea mpira zawadi Mwalimu wa michezo shule ya sekondari Runzewe Wilson Mereges amemshukuru Mkurugenzi Mtendaji kwa kutoa mipira hiyo na kusema kuwa itasaidia kuleta hamasa kwa wanafunzi.

Nae Mwalimu wa michezo shule ya sekondari Katente Godfrey Chilala amesema katente wamejipanga kuendelelea kuibua vipaji vya wanafunzi kwa kupitia michezo mbalimali ikiwemo mpira wa miguu, Pete pamoja na michezo mingine.

Kwa upande wake Afisa michezo Wilaya ya Bukombe Jenipher kisusi ameahidi kushirikiana na walimu pamoja na wadau wa michezo ili kuinua michezo mashuleni na kufikia malengo ya halmashauri katika masuala yamichezo.



Matangazo

  • Ufafanuzi wa Habari iliyochapishwa kwenye tovuti ya Mwananchi Communication ltd October 13, 2021
  • Tangazo la Kazi October 13, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Wanawake Wajasiriamali Wapatiwa Mafunzo.

    March 01, 2022
  • DC Nkumba awataka Madiwani kushirikiana na wataalamu.

    February 22, 2022
  • Watumishi Wapewa Elimu Kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi

    February 21, 2022
  • Walimu wa Michezo Watakiwa Kuibua Vipaji

    February 19, 2022
  • Tazama zote

Video

Mweka Hazina na Wahasibu watakiwa kutimiza wajibu wao
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa