• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mkuu wa Mkoa Geita Mhandisi Robert Gabriel atangaza Vita vya Maendeleo wilayani Bukombe

Imewekwa: November 14th, 2017

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel amezindua Kampeni ya ujenzi wa Vyumba vya Madarasa vya Shule ya Msingi Bulama kata ya Runzewe Mashariki na Vyumba vya Zahanati Kazibizyo kata ya Ng’anzo wilayani Bukombe.

Lengo ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora na  za Uhakika katika sekta za Elimu na Afya.

Aidha katika uzinduzi huo Mkuu wa Mkoa amesisitiza ushiriki wa wananchi katika kuibua miradi ya maendeleo na kutumia vikundi vya ujenzi vya eneo husika huku vikipata usimamizi wa mhandisi wa wilaya ili kujenga majengo yenye ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu.

 “Miradi ya maendeleo ikiibuliwa nitahakikisha namalizia kila jengo liloanzishwa kwa nguvu ya wananchi na kuhakikisha natafuta wadau wa maendeleo kusaidia kukamilisha miradi yetu” alisema Mkuu wa Mkoa

Pia Mkuu wa Mkoa amewataka maafisa Tarafa watendaji wa kata na vijiji kutoa taarifa za miradi ya maendeleo hiyo kila wiki ambapo aliahidi kufuatilia kwa ukaribu zaidi suala hilo.

 “utendaji wa miradi hii nitaifuatilia kwa umakini wa hali ya juu” alilisitiza Mkuu wa Mkoa.

Katika uzinduzi huo watumishi ngazi ya wilaya na kata,pamoja na viongozi wa siasa walichangia jumla ya mifuko ya cementi 93,fedha taslimu 340,000/=,misumari kilo 3,matofali 500,mbao 50 pamoja na miche ya miti 50.

Mkuu wa mkoa pia ametoa magunia 2 ya unga kwa mafundi ujenzi wa kila mradi.

Kampeni hii ya ujenzi wa vyumba vya madarasa,zahanati na vituo vya afya inahusisha wilaya zote zinazounda Mkoa wa Geita.

Pichani Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel mwenye helmet range ya blue ameshiriki na Mwananchi kuchanga zege ujenzi wa zahanati Kazibizyo.


                                                                                               Pichani Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa shule ya Msingi Bulama.

Pichani Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel ameweka zege kwee Msingi wa ujenzi wa Zahanati Kazibyizo.


Pichani Afisa Tarafa ya Siloka name ameshiriki vyema katika ujenzi wa vyumba vya madarasa sule ya Msingi Bulama.

Pichani ni Mwananchi Kijiji cha Kazibizyo akita amebeba mawe kuelekea kwenye musing wa ujenzi wa zahanati.

Pichani Mwananchi wa Kijiji cha Bulama aliyesikika akiitwa Lushiku akiwa amebeba Jiwe kubwa mgongoni.


Pichani Mkuu wa Mkoa wa Geita Robert Gabriel Mhandisi akisisitiza kauli mbiu ya "Hakuna Kulala Mpaka kieleweke" katika Mkutano wa Hadhara baada ya kuzindua ujenzi wa Zahanati Kazibizyo.

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel  akiweka jiwe kwenye msingi wa ujenzi wa Vyumba vya Madarasa shule ya msingi Bulama.

Wananchi wa Kazibizyo wakishiriki Kikamilifu katika Ujenzi wa Zahanati kijiji cha Kazibizyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa