• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mwangaza theatre group kunufaisha wana Bukombe

Imewekwa: July 10th, 2018

Kikundi cha Mwangaza theatre Group kimeanzishwa rasmi mwaka 2011 kikiwa kimelenga  kuelimisha jamii  ya Bukombe katika masuala ya uzazi wa mpango, Malaria, Ukimwi na madhara yake pamoja na mbinu za kujikinga, wilaya ya Bukombe inashika nafasi ya pili kati ya tano kwa takwimu za mkoa wa Geita juu ya maambukizi ya virusi vya ukimwi, kikundi hiki kinawafikia wananchi kijiji kwa kijiji kutoa elimu ya afya kwa kujitolea.

Pia kikundi  hiki kimelenga kuongeza mwamko katika jamii dhidi ya ugonjwa  wa Ukimwi na kutokomeza maambukizi mapya ya virusi hivyo na kuboresha afya za wakazi wa wilaya ya Bukombe kwakuwa na mpango endelevu wa jitihada za kukabiliana na Ukimwi na magonjwa ya ngono kwa  kuishauri jamii na kushawishi upimaji wa hiyari ,pia kuboresha afya ya mama wajawazito na watoto chini ya muri wa miaka 5 ili kupunguza vifo.

Kikundi  cha Mwangaza katika chai wake kimepata bahati ya kupata ushirikiano kutoka serikalini na taasisi zisizo za kiserikali kama  vile AMREF,CARE INTERNATIONAL,TACAIDS ,TCDC(Tanzania Communication and Development Center),ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri kupitia idara  zake za maendeleo ya jamii na IMA WORLD HEALTH  FUND(Mradi wa Lishe mtoto mwerevu).

Aidha utekelezaji wa mradi umefikia kata 17 wilayani Bukombe ambapo imeweza kutoa elimu kwa jamii kupitia mikutano ya hadhara ,kutoa elimu ya mabadiliko ya kitabia kwa  jamii na kufanya tathmin na ufuatiliaji wa shughuli za mradi serikalini kupitia vitengo husika ndani ya idara ya Afya.

Akizungumza katibu wa kikundi hicho amesema kikundi kimeweka mikakati mbalimbali ya kutoa elimu kwenye mikutano, shuleni, kanisani, misikitini, hospitalini na kwenye maeneo ya masoko na kuomba vitendea kazi kutoka TCDC kama baiskeli na pikipiki,”jamii imeanza kuwa na mwitikio chanya juu ya malaria,afya ya uzazi wa mpango na virusi vya Ukimwi,  imesaidia kuleta mabadiliko chanya ya kitabia kwa wananchi, naamini tumeanza kufikia lengo”alisema katibu wa kikundi Mkala.

Mwenyekiti wa Kikundi cha Mwangaza akifungua kikao cha mipango mikakati ya kuendelea kuelimisha wana Bukombe.

Wanakikundi cha Mwangaza Theatre Group wakiwa katika kikao cha kujadili namna ya kutekeleza mikakati mbalimbali waliojiwekea.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa