• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko awataka viongozi wa CCM kusimamia ilani ya Chama

Imewekwa: September 27th, 2023


GEITA; Bukombe. NAIBU Waziri Mkuu, ambaye pia ni Waziri wa Nishati na Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Dk Dotto Biteko amewataka viongozi kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujikita zaidi katika kusimamia Ilani ya chama na kuachana na siasa za chuki kama anavyofanya Rais Samia Suluhu Hassan.

-Dk Biteko amesema hayo katika mkutano wa hadhara kwenye kata ya Namonge wilayani Bukombe na kueleza viongozi wanapaswa kutambua CCM ndio imepewa dhamana ya kuongoza nchi. 

-“Shughulikeni na tupambane na shida za watu, watani zetu watafika watatukana  tusirudishe, watafika watasema hatujafanya kitu, tusihangaike kuwaonesha tumefanya nini, wananchi wanaona.

-“Tukiamka asubuhi tuwaze shida za watu, tutatue shida za watu, mahali ambapo kuna malalamiko ya shida za watu, tusisubiri mkuu wa wilaya aje, viongozi wa eneo hilo tumalize shida hizo,” amesema na kuongeza;

-“Tusisubiri mkuu wa mkoa aje, tumalize hizo shida kabla mkuu wa mkoa hajaja, wala mkoa msisubiri Rais aje, sisi tuzimalize shida za watu, Watanzania wanachohitaji ni maendeleo.”

-Amesema usimamizi thabiti wa Ilani ya CCM utawezesha maboresho ya miundombinu ya barabara na huduma ya maji, elimu na afya ambazo ndio mihimili ya maendeleo kwenye jamii ya wananchi wa kawaida.

-“Niwaombe watu wa CCM, nendeni hata kwa mtu wa Chadema kama ana shida wala msiwachukie, wakati mkiwaonesha wema, mtawageuza mioyo yao, watu wa Bukombe ushindeni ubaya kwa wema.

“Msilipe ubaya kwa ubaya mkitendewa ubaya msamehe mkitendewa jema mshukuru, na yeyote atakayewapuuza msameheni lakini tushughulike na shida za watu, hatutapimwa kwa kusema tutapimwa kwa matokeo.”

-Imeandaliwa na Yohana Shida, Geita


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa