• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

“Natoa Siku tatu tu Vibanda vibomolewe” DC Bukombe

Imewekwa: May 30th, 2018

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Josephat Maganga ameagiza Vibanda vilivyojengwa chini ya msongo wa Umeme wa Tanesco wenye Kilovoti 33 eneo la Ofisi za Chama cha Mapinduzi vibomolewe ndani ya siku 3 kata ya Katente mtaa wa Uhamiaji.

Akizungumza na Wananchi wa kata ya Igulwa,Katente,Bulangwa na Ushirombo katika Mkutano wa hadhara wilayani hapa, Mkuu wa Wilaya amewaasa Wananchi kufuata Mamlaka husika zilizowekwa Kisheria ili kuepuka migogoro itakayoweza kujitokeza baina ya Serikali na Jamii.

Mkuu wa Wilaya ametoa rai hiyo baada ya kupokea malalamiko juu ya uvunjwaji wa Sheria yaliyofikishwa kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya kutoka Ofisi ya Shirika la Umeme Tanesco na Halmashauri kupitia Idara ya Ardhi, juu ya ujenzi wa Vibanda vya Biashara katika eneo ambalo haliruhusiwi Kisheria kwa madai kuwa wamepewa kibali na ofisi ya Chama cha Mapinduzi CCM madai ambavyo si ya kweli baada ya kamati ya Ulinzi na Usalama kufuatilia na kujiridhisha kuwa madai hayo ni batili na kama ni mtu Mmoja alifanya hivyo kwa maslahi binafsi basi Chombo cha kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU pamoja na Polisi vifanye uchunguzi haraka sana.

Aidha, Mkuu wa Wilaya pia ameagiza Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe kutenga eneo kata ya Katente kwaajili ya Soko la Biashara ili wananchi watakaohama katika eneo Hilo la Kisheria lisiloruhusiwa wakajenge eneo ambalo sheria, na taratibu zinaruhusu ujenzi wa Soko hilo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Ndugu Dionis Myinga amesema atatekeleza agizo hilo na kusisitiza wananchi kufuata Sheria,Kanuni na Taratibu zilizowekwa na Serikali ambazo zinatumika Kufanya kazi na Halmashauri zote Nchi.

Meneja wa TANESCO Wilayani Hapa Ndugu Thadei Mapunda amesema miundombinu iliyowekwa eneo hilo imehakikisha kuwa ni Salama hivyo kujenga katika eneo hilo kwa biashara ni hatari.

Katika Mkutano huu Wananchi nao wameomba kupatiwa maeneo mbadala kwani walipewa maeneo hayo kwa ajili ya kufanya biashara  lengo ikiwa kujikwamua kiuchumi.

Wananchi waliojitokeza Kwenye Mkutano.

Mwananchi Adam Machungwa akitoa kero Yake katika Mkutano wa Hadhara kuhusu Kubomolewa kwa Vibanda.

Mkuu wa Wilaya Mhe.Josephat Maganga akiongea na Wananchi katika Mkutano wa hadhara.

Meneja wa TANESCO Bukombe Ndugu Thadei Mapunda akiongea na Wananchi na Kutoa Elimu ya Umeme.

Vibanda Vilivyojengwa Kinyume na Sheria ya Ardhi .

Wananchi waliojitokeza Kwenye Mkutano.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa