• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Nitakuwa Mstari wa Mbele Kuhakikisha Ninalinda Haki za Wanawake

Imewekwa: March 8th, 2023

"Nitakuwa mstari wa mbele  kuhakikisha ninalinda haki za wanawake katika kushika nafasi za uongozi, kupinga vitendo vya ukatili na kuhakikisha haki za msingi za binadamu zinapatikana katika jamii nzima."

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Said Nkumba wakati wa sherehe za kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani tarehe 8 Machi, 2023  katika viwanya vya Michezo Mwenge kata ya Uyovu.

Aidha Nkumba amewataka wananchi  kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha jamii inakuwa na matumizi sahihi ya teknolojia ambayo yanalenga kujenga tamaduni za kitanzania.

"Ndugu zangu tupo kwenye dunia ya utandawazi tuhakikishe jamii yetu inakuwa na matumizi  sahihi ya teknolojia yenye mtazamo chanya wenye kujenga tamaduni zetu ili mwisho wa siku tuweze kulinda mila na desturi zetu ili jamii iweze kuwa na kizazi  chenye kufuata maadili huku suala la usawa wa kijinsia likizingatiwa."

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Lutengano Mwalwiba amewapongeza wanawake wote Duniani katika kuadhimisha siku hii muhimu.

"Nawapongeza wanawake wote katika kuadhimisha siku hii muhimu. Wanawake mnaweza katika masuala ya uongozi na jamii kwa ujumla.Wanawake mnamioyo ya dhahabu, mapenzi ya kweli, uvumilivu na subra kwa ustawi wa utu na kuifanya Dunia kuwa sehemu salama zaidi." 

Akiongea katika Maadhimisho hayo Mkuu wa Divisheni ya Maendeleo ya Jamii Rita Kamenya amesema  Maadhimisho ya mwaka 2023  yamebeba kauli mbiu isemayo " Ubunifu na Mabadiliko ya Teknolojia: Chachu katika kuleta Usawa wa kijinsia ambapo inasisitiza  umuhimu wa mawazo ya ujasiri yenye kuleta mabadiliko na teknolojia jumuishi zenye kuleta ubunifu.

Maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani hufanyika tarehe 8 Machi ya kila mwaka lengo likiwa ni kuongeza chachu katika harakati za mapambano katika usawa wa kijinsia kwa wanawake na wanaume katika jamii.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa