• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Nyimbo za Uzalendo ni Sehemu ya Michezo

Imewekwa: January 19th, 2023

 Kaimu Afisa Elimu Msingi Wilaya Kassim Musa kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji amewaagiza Walimu wa Michezo katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe kuhakikisha kila siku kabla watoto hawajaingia madaradani wanaimba nyimbo za uzalendo pamoja na kushiriki mbio za mchakamchaka.

" Hili siyo ombi ni lazima. Hakikisheni kabla wanafunzi hawajaingia madarasani wanaimba nyimbo za kizalendo na kushiriki mbio za mchakamchaka kwa sababu  ni sehemu ya michezo."

Kassimu ameyasema hayo tarehe 17 Januari, 2023 wakati wa kikao cha tathimini ya kambi ya michezo wilaya kwa  shule za msingi UMITASHUMITA 2022 kilichoketi katika ukumbi wa mikutano wa halmashauri.

Aidha amewapongeza kwa kushiriki katika kikao hicho kwani kimekuwa ni kikao cha kujenga.

" Kikao hiki ni dira yetu katika kitengo cha  michezo kwani tumeweza kutathimini wapi tumefanya vibaya na wapi tumefanya vizuri na nini kifanyike."

Vile vile amewashukuru wadau  wa michezo Benki ya NMB, CRDB na watu binafsi kwa kujitoa kwa hali na mali katika kufanikisha michezo.

" Mmekuwa wadau muhinu sana kwani mmekuwa bega kwa bega na sisi katika kufanikisha shughuli za michezo. Sisi kama Wilaya tunatambua mchango wenu."

Kwa upande wake Kaimu Afisa Utamaduni, Michezo na Sanaa Wilaya Jenipher Kisusi amewataka wakuu wa shule pamoja na walimu wa michezo kuwa wawazi katika matumizi ya fedha za michezo.

"Fedha za michezo ziwe wazi kuanzia kwenye kamati za shule na hata wanafunzi wajue. Kama hatutaweka wazi itakuwa ni vigumu kushikwa mkono na wadau.

Aidha aliendelea kusema kuwa changamoto kubwa inayoifanya wilaya kufanya vibaya kwenye mashindano ni muda mfupi wa kukaa kambini ambapo unapelekea wanamichezo kutoandaliwa vizuri.

Kikao cha Tathmini ya kambi ya michezo ya UMISHUMITA mwaka 2022 kimehusisha walimu wa michezo kwa shule za msingi, Maafisa Elimu Kata, walimu wakuu, Viongozi wa vyama vya michezo na wadau wa michezo CRDB,  NMB na watu binafsi


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa