• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Rais Magufuli afungua rasmi barabara ya Uyovu Bwaga yenye Km 45 Wilaya ya Bukombe

Imewekwa: March 10th, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli,amezindua barabara ya kiwango cha lami ya Uyovu - Bwanga yenye urefu wa kilomita 45 yenye thamani ya shilingi bilioni 47.

Amewataka wananchi kuacha vitendo vya kuhujumu miundombinu ya barabara kwa kuacha tabia ya kupitisha mifugo na kutochimba maeneo ya barabara kwa kuwa vitendo hivyo vinaharibu barabara.

Ameipongeza Wizara ya ujenzi kwa kazi nzuri ya usimamizi wa ujenzi wa barabara hiyo ambayo itarahisisha shughuli za usafiri na usafirishaji wa mizigo kutoka Mkoa wa Geita, Kagera, Mwanza, shinyanga na maeneo mengine ya nchi.

Akiwa katika Eneo la Uyovu wilaya ya Bukombe Mhe. Rais ameshukuru wananchi wa Bukombe kwa kumpigia kura nyingi amewataka washirikiane vyema na viongozi wazuri wa Mkoa wa Geita kuanzia Mkuu wa Mkoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi ambao kwa pamoja wanafanya kazi nzuri ya kuwatumikia wananchi wa Mkoa wa Geita

Ameongeza kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi tano zinazokuwa kwa kasi kiuchumi, Serikali inatekeleza miradi mikubwa kwa ajili ya maendeleo ya wananchi kama uwekezaji katika miundombinu ya reli na barabara pamoja na elimu na afya ambapo katika bajeti ya mwaka 2018 shilingi bilioni 266 zitatumika katika sekta ya afya.

Amesisitza suala la amani kwa wananchi wote ili wapate maendeleo "nitasimamia na kulinda Amani kwa nguvu zangu zote watanzania na viongozi wa dini, siasa tusimame pamoja katika hili kwa kuwa pasipo na amani hakuna maendeleo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akipeana mkono baada ya Ufunguzi wa Barabara ya KM 45 Uyovu-Bwaga Na Mkuu wa Mkoa Geita Mhandisi Robert Gabriel.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akimaliza kukata utepe kuashiria Barabara ya Uyovu Bwaga imezinduliwa rasmi akiwa na Mkuu wa mkoa  kushoto,Naibu Waziri wa Ujenzi, na Wakuu wa Wilaya kutoka mkoa wa Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akiteta jambo Na Mkuu wa Mkoa Wa Geita Mhandisi Robert Gabriel

Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Padri wa Kanisa Katoliki Kijiji cha Lyobahika ambapo Uzinduzi Huu Ulifanyika.

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel Akitoa Taarifa ya Mkoa Wake wakati wa Uzinduzi wa Barabara ya Uyovu-Bwaga

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akihutubia Wananchi wa Uyovu Runzewe katika Uzinduzi wa Barabara ya Uyovu-Bwaga KM45 yenye thamani ya zaidi ya Bilioni 45.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa