• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Serikali Imewataka Vijana Kuwa na Mshikamano Ili Kujikwamua Kiuchumi

Imewekwa: June 20th, 2019


Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Said Nkumba akizungumza na vijana waliohudhuria semina ya kitalu nyumba Wilayani Bukombe

Serikali imewaka vijana kuwanaushirikiano wanapokuwa wanafanya shughuli za uzalishaji wa mali kwa lengo la kujikwamua na umaskini.Wito huo ulitolewa na mkuu wa wilaya ya Bukombe Said Nkumba wakati akifungua mafunzo ya siku nane vijana 100 mafunzo yanayolenga kuhudumia mazo ya bustani kwa kutumia teknolojia ya kitalu nyumba kata ya Bulangwa wilaya ya Bukombe  mkoa wa Geita.Nkumba alisema serikali imetowa sh 13 milioni toka ofisi ya waziri mkuu kwa vijana wilaya ya Bukombe ili wanufaike na kilimo cha kitalu nyumba.Aliwataka vijana baada ya mafunzo haya wawe na hamasa ya kuendelea kulima kiliomo chakitalu nyumba kwa kuzingatia mafunzo na teknolojia wanayopewa.

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Bukombe Dioniz Myinga aliwaomba vijana ambao wamekuja kujifunza mafunzo hayo kuwa chachu ya maendele kwenye vijiji ili mradi huu ufike kila kijiji.Myinga alisema kilimo cha kitalu nyumba kitawapa ajila ya kujiajiri vijana na kukuza uchumi kuanzia ngazi ya familia na taifa.Mtalamu wa kuchanganya udongo na upandaji mazao ya bustani kwa kutumia teknolojia Joseph Athanas toka kampuni ya Holygrnee agric limited iliyopo mkoani Morogoro (vijana sua) ambaye pia muwezeshaji wa mafunzo hayo.Athanas alisema kampuni hii imepewa tenda na serikali kupitia ofisi ya waziri mkuu kutowa mafunzo kwa vijana 100 kila wilaya hapa nchini kwa kushirikisha vijana wa malika yote hadi umri wa miaka 36 awe amesoma hata kama hajasoma.

Athanas aliongeza kuwa serikali kwa kupitia mafunzo hayo vijana wengi watanufaika badara ya kupitia vikundi vya vijaja na walemavu na wanawake kwa kusubili mkopo wa halmashauri.Mafunzo haya yatawafanya vijana kujitegemea wao kuendeleza kilomo badara ya kutegemea fedha za halmashauri kupitia mapato ya ndani asilimi 4 ya vijana asilimia 4 ya wanawake asilimia 2 walemavu hali ambayo zimekuwa haziwanufaishi.

Rahery Ernest ambae nimshiriki wa mafunzo alisema wanaishukru serikali kwa kuwaletea mafunzo kupitia mafunzo haya wataenda kuazisha kilimo cha kitalunyuba vijiji ili kuhakikisha vijana wanajikwamua kiuchumi.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa