• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Serikali kuwashukia watakao kwamisha upuliziaji wa dawa za ukoko majumbani.

Imewekwa: November 19th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Said Nkumba Mkoani Geita amesema serikali haita waacha salama wale wote watakaokwamisha upuliziaji wa Dawa ya Ukoko Majumbani.

Hayo ameyasema tarehe 17 Novemba, 2021 wakati wa uzinduzi wa zoezi la upuliziaji wa Dawa ya Ukoko.

Katika utekelezaji wa agizo hilo amewataka viongozi kuanzia ngazi ya kitongoji kutoa taarifa ofisini kwake kwa wale wote watakao kwamisha zoezi hilo ili wachukuliwe hatua.

Nkumba amewataka wananchi kuhakisha wanatoa ushirikiano kwa wapuliziaji wa dawa hizo zinazouwa mazalia ya mbu ili kufikia lengo la kupunguza ugonjwa wa Maralia kwa asilimia 100.

Mganga mkuu wa wilaya ya Bukombe mkoani Geita Dk Olden Ngasa amewaomba wananchi kuachana na zana potofu juu ya dawa ya ukoko inaonyunyuziwa majumbani kwa ajili ya kuua mazalia ya mbu ili kuendela kupunguza ugonjwa wa malaria.

Dk Ngasa alisema dawa hiyo haina mazara wala haipunguzi nguvu za kiume, wala haisababishi mazara ya kiafya badae, imethibitishwa na kuhakikishwa na wana Sayansi.

Mratibu wa malaria wilaya ya Bukombe Musa Lubadaja amesema wakati zoezi hili linaanza mwaka jana utafiti ulionyesha wanafunzi mashukeni asilimia 42.7 wanaugonjwa wa malaria hadi Novemba 17,2021 ugonjwa huo umeshuka na kufikia asilimia 25.5 yakiwa nimatokeo ya umwagiliaji majumbani dawa ya ukoko.

Alisema lengo la serikali ni kuokoa akinamama wajawazito na watoto waliochini ya miaka 5 na kuhakikisha wananchi wengine wanaodokana na ugonjwa wa Malaria ambao umekuwa nichanzo cha kushusha uchumi.

Lubadaja alisema mwaka 2018 maambukizi kwa watu wote ukiodoa wanafunzi kabla ya kupulizia ilikuwa asilimia 30.5 hadi 2019 bada ya kupulizia dawa ya ukoko ni asilimia 21.5.

Mkazi wa Igulwa Anna George amesema yuko tayali nyumba yake kupuliziwa dawa ya ukoko ili kukinga malaria, mwaka jana alipo puliziwa familia yake ilipunguza maabukizi ya ugonjwa wa malaria.

Zoezi la upuliziaji wa Dawa ya Ukoko Majumbani linatekelezwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Abt Associates chini ya ufadhili wa Serikali ya Marekani kupitia USAID.

MWISHO






Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa