• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Serikali Yatoa Bilioni 99.3 Kutekeleza Miradi ya Maendeleo Mkoa wa Geita

Imewekwa: May 15th, 2023

Serikali imesema itaendelea kusogeza ipasavyo huduma za msingi kwa wananchi katika sekta ya Afya, Elimu, Maji na Miundombinu ya Barabara ili kuleta maendeleo chanya kwa wananchi.

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa Ndugu Daniel Chongolo  katika hafla ya uzinduzi wa Ukumbi wa mikutano wa CCM na uwekaji wa jiwe la msingi katika ujenzi wa nyumba ya kupumzikia viongozi (Rest House) katika wilaya ya Bukombe Mkoani Geita.

Akizungumza na wanachama wa CCM, viongozi wa Serikali na Wananchi Ndugu Chongolo amewapongeza viongozi wa Chama hicho kwa kazi kubwa ambayo wanaendelea kuifanya na kwamba serikali ya awamu ya sita itaendelea kuboresha  huduma za msingi kwa Wananchi.

Chongolo amesema serikali ya awamu ya sita  chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya bilioni 99.3 kwa mkoa wa Geita kwa lengo la kuendeleza kutekeleza miundombinu mbalimbali  ya kimaendeleo kwa lengo la kusogeza huduma za msingi kwa Wananchi katika sekta ya Afya , Elimu, maji na miundombinu ya Barabara.

Mbunge wa Jimbo la Bukombe na  Waziri wa madini Dkt Dotto Biteko amesema ushirikiano baina ya viongozi wa Serikali na Chama katika wilaya ya Bukombe na Mkoa wa Geita kwa ujumla eneo ndio chachu ya maendeleo kwa wananchi.

Awali akisoma taarifa ya ujenzi wa Ukumbi wa mikutano wa CCM  na nyumba ya kupumzikia viongozi (Rest House) Mkuu wa wilaya ya Bukombe  Mkoa wa Geita Said Nkumba amesema ujenzi humo umeghalimu zaidi ya milioni 200.

Nkumba amempongeza Mbunge wa Jimbo la Bukombe na  Waziri wa Madini Dkt Dotto Biteko kwa mchango wake mkubwa wa kuwezesha ujenzi huo kwani katika ujenzi huo amechangia zaidi ya asilimia 80 huku asilimia 20 zikichangiwa na wanachama wa Ccm wilaya na Mkoa wa Geta.

#Bukombe Hakuna Kilichosimama

#Kusema na Kutenda



Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa