• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Serikali Yatoa Masaa 84 Kwa Makampuni Ya Kununua Pamba

Imewekwa: June 21st, 2019



Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Said Nkumba akizungumza Katika kikao cha Baraza la Madiwani Wilayani Bukombe


Bukombe,Serikali imetoa masaa 84 kwenye makampuni manne yaliyofunga mkataba wa kununua zao la pamba wilayani Bukombe mkoani Geita wawe wameanza kununua pamba hiyo.

Tamko hilo la serikali lilitolewa na mkuu wa wilaya ya Bukombe mkoani Geita, Said Nkumba saa 9:58 alasili juni 20 mwaka huu kwenye kikao cha baraza la madiwani halmashauri ya wilaya ya Bukombe.Nkumba alimuagiza mkaguzi wa pamba wilaya ya Bukombe Edmond Jemes kuhakikisha itakapo fika saa 8:00 mchana Juni 24 kama kutakuwa na kampuni ya kununua pamba halija fika kwenye kituo apate taarifa ili achukuwe hatua.

Alisema kwenye taarifa za madiwani Juni 19 wakati wakiwasilisha taarifa za utekelezaji wa shughuri za maendeleo na changamoto za wakulima walidai baadhi ya wakulima wameaza kutorosha zao hilo na kwenda kuuzia wilaya jirani na halmashauri inakosa mapato.

Bazi ya makampuni matatu mameneja walifika kujibu na kutoa sababu zilizo chelewesha kunaza kununu pamba Furesho, KCCL na Kahama oil mili, huku inadaiwa kuna makampuni manne yaliyofunga mkataba kununu pamba wilaya ya Bukombe yote matawi ya Kahama.

Meneja wa kampuni Furesho Kifashizi Ngalula akiwa kwenye baraza alisema bei ya sh 1200 ilikuwa inawakata na kampuni inatalajia kufungua vituo vya kununuria pamba jumatatu kilichowasababisha kuchelewa kuanza ununuzi ni kutokana na kushuka kwa bei ya pamba soko la duniaanaishukuru serikali imesha kaa na wadau na wamekubaliana kuanza kununua pamba.

Meneja wa kampuni ya KCCL Edward Lubacha akijitetea kwenye baraza  alisema tangu Mei 2 walisuwa suwa kuanza kununu kwa  kupolomoka kwa bei ya kidunia na kwamba kampuni linatalajia kuwa na vituo 46 za kununulia pamba wilayani Bukombe.

Meneja wa kampuni ya  Kahama oil mili Amos Ndutu aliliambia baraza la madiwani kuwa jumatatu kampuni ita anza kununua imeingia na mkataba na vyama vya msingi 47 walichelewa kuanza kutokana na  kushuka kwa bei ya soko la pamba kidunia lakini kwa sasa serikali imefikia muafaka na wakurugenzi wa makampuni.

Upandewake mkaguzi wa pamba wilaya ya Bukombe Edmond Jemes akipokea maelekezo ya serikali yaliyotolewa na mkuu wa wilaya hiyo aliwahakikishia madiwani kuwa makampuni yameelekezwa kuto shusha bei ya sh 1200 kwa kilo moja.

Jemes alisema nikweli kwamba bei ya pamba kidunia ilikuwa imeshuka hadi kufikia sent paund 75 na imeendelea kupolomoka hadi sasa ni senti 67 sawa na sh 1060 ya kitanzania na Mei 1 msimamo wa serikali ilikuwa makampuni wanunuwe kwa sh 1200 kwa kilo na hata sasa serikali imeelekeza waingie sokoni kwa bei ya sh 1200 kwa kilo na hakuna kukopa pamba kwa wakulima.

Mwenyekiti wa halmashauri Safari Mayala alisema kwa maangizo ya mkuu wa wilaya kama halmashauri watayafanyia kazi na kampuni ambayo itakuwa haija ingia sokoni kununua pamba serikali ya wilaya ya Bukombe itafuta mkataba na kampuni ambalo halita tekeleza angizo la serikali ili halmashauri itafute makampuni mengine ispoteze mapato.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa