• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Shillingi Millioni 11.9 za wanakijiji zajenga vyumba viwili vya madarasa shule ya msingi Ihurike wilayani Bukombe.

Imewekwa: April 3rd, 2017

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe Josephat Maganga amehudhuria hafla ya ufunguzi wa vyumba viwili vya madarasa kwaajili ya wanafunzi wa awali na darasa la pili shule ya msingi Ihurike "Nimefurahishwa sana na tafsiri nzuri kuhusu Elimu bure na bora kwa watoto wetu kwa kuchangia kwa hali na mali na kuongeza na kuboresha miundombinu ya elimu hakika hili ni jambo la kunijivunia sana" amesema Maganga.

Aidha Mkuu wa Wilaya ametoa pongezi za dhati  viongozi wa vijiji, Diwani wa kata ya Ushirombo Mhe.Lameck Warangi na Mbunge wa Bukombe Mhe.Doto Biteko kwakuwa viongozi bora wenye ushawishi mzuri wa kuleta Maendeleo katika Elimu wilayani kwetu, kwa pamoja sasa tuendelee kuwa watu wenye kujivunia maendeleo yetu na kuendelea kushirikiana kuboresha miundombinu yetu ya Elimu na Afya." 

Diwani wa kata ya Ushirombo Mhe.Lameck Warangi  amedhirisha furaha yake kwa wanaIhurike kukamilisha ujenzi huu wenye thamani ya Shilling Millioni 22.9 ndani ya siku 60 ikiwa nguvu za wananchi ni shillingi millioni 11.9 na Millioni 11.9 kutoka serikali kuu, "Wananchi wangu tuendelee kupambana ili kuleta maendeleo ya kielimu na kiuchumi katika vijiji vyetu nasema haya sababu mwenyeviti kutoka vijiji vingine kwenye kata yangu mpo hapa na mmejionea ujenzi huu wa miundombinu ya elimu niiteni nitakuja , maendeleo ya vijiji vyetu huletwa na sisi wenyewe tuchape kazi na pia tuendelee kumshirikisha Mbunge wetu wa Bukombe Mhe.Doto Biteko katika mikakati yetu ya maendeleo,Mbunge wetu anapenda maendeleo atatusaidia na kutuongoza vyema tumpe shukrani zetu za dhati katika kukamilisha maendeleo haya."

Shule ya Msingi Ihurike ina jumla ya wanafunzi 427, wavulana wakiwa 201 na wasichana 226 na walimu 9, pia ina choo kimoja chenye matundu 4,upungufu ukiwa ni matundu 8 kwa wanafunzi wa kike na matundu 6 kwa wanafunzi wa kiume, huku walimu wakiwa hawana choo kabisa na ni shule inayopakana na hifadhi ya msitu wa Kigosi Moyowosi.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa