• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Simbachawene akoshwa na utekelezaji wa miradi ya TASAF Bukombe

Imewekwa: September 16th, 2023


Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Boniface Simbachawene (MB) amefurahishwa na utekelezaji wa miradi ya Tasaf inayotekelezwa Wilayani Bukombe huku akiwataka wananchi kuendeleza moyo wa kijitolea nguvu kazi katika utekelezaji wa miradi.

" Nimefurahishwa sana kuona jinsi miradi ilivyotekelezwa kwa ubora ule ule ambao serikali imekusudia, hongereni sana."

Pongezi hizo alizitoa tarehe 15 Septemba 2023 wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Zahanati ya Ishololo na ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa, ofisi moja ya walimu na matundu 6 ya vyoo katika shule ya msingi Ihulike.

Aidha aliendelea kusema kuwa Bukombe kuna ushirikiano mzuri kati ya wananchi na serikali ndiyo maana mnatekeleza miradi bila mapungufu yoyote.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Said Nkumba alisema.

"ufanisi mkubwa unaouona katika utekelezaji wa miradi wilayani Bukombe ni pamoja na wananchi kushilikishwa nguvu kazi kama vile kuchota maji, kuchimba msingi, kusogeza mawe na mchanga."

Naye  Bi. Moshi Ramadhani mwananchi kutoka katika kata ya Lyambamgongo kijiji cha Ishololo ameishukuru serikali kwa  kuwaletea mradi wa ujenzi wa zahanati   kwani walikuwa wanatembea umbali mrefu kwenda kutafuta huduma za afya na sasa wataipata huduma hiyo karibu.

Aidha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Lutengano Mwalwiba alisema, katika kipindi cha utekelezaji wa Mpango wa Kupunguza Umaskini (TPRP 1V) Halmashauri imetekeleza jumla ya miradi 10 ambayo sekta ya Elimu ni 5 na Afya 5 iliyogharimu jumla ya  kiasi cha shilingi 884,024,142.91 na shilingi 224,315,007.68 zilipokelewa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya barabara.

Imetolewa na:-

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe 

Tarehe 16 Septemba, 2023





Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa