• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Sitahangaika na Mtoto, Nitahangaika na Mzazi

Imewekwa: January 19th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Said Nkumba amewataka wazazi/ walezi kuhakikisha wanawapeleka watoto wao shule ambao wamefikia umri wa kuanza darasa la awali na wale wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2023.

"Mtoto anayepaswa kwenda shule aende shule, sitakuwa na mswalia Mtume kwa mzazi atayekaidi agizo la kumpeleka mtoto wake shuleni."

Nkumba ameyasema hayo leo tarehe 18 Januari, 2023 wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya 2020 - 2025 kwa kipindi cha Julai - Desemba 2022 katika kikao cha  Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

Aidha Nkumba amewaagiza Maafisa Tarafa pamoja na Watendaji wa Kata kuhakikisha wanawabainisha watoto wote wanaotakiwa kwenda shule.

"Tumefaulisha vizuri, tumejenga madarasa mazuri tena yenye viwango.Bainisheni watoto wote wanatakiwa kuripoti shuleni na wazazi watakaokaidi agizo la serikali watakuwa halali yangu."

Vile vile amepongeza wanafunzi, walimu na wadau wa elimu kwa kuifanya Bukombe ishike nafasi ya pili  kimkoa katika matokeo ya mtihani wa Taifa darasa la saba kwa mwaka 2022.

"Tunawapongeza walimu kwa kutuheshimisha kwani mmemefanya kazi nzuri sana na muendelee kuwa na moyo huo huo wa kizalendo."

Kwa upande wake Mwenyekiti wa kamati ya Siasa Wilaya  Matondo Kihanda Lutonja amewapongeza wakuu wa Taasisi pamoja na wakuu wa Idara kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo.

Tumeiona miradi mikubwa mizuri katika wilaya yetu ambayo imetekelezwa kwa viwango vyenye ubora kweli mwenye macho ahambiwi tazama."

Baada ya agenda zote kukamilika Nkumba  alisema ushauri wote uliotolewa na wajumbe ameuchukua  na atahakikisha anautendea kazi kwa kushilikiana na watendaji wa serikali.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa