• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Small Tiger Fc Yatwa Ubingwa Doto Cup Kwa Kata Ya Lyambangongo.

Imewekwa: July 12th, 2019


Timu ya Small Tiger Fc ya Lyambamgongo imeibuka kidedea kwenye Lingi ya Doto Cup 2019 ngazi ya Kata baada ya kuilaza timu ya Kagwe fc kwa goli 3-2.



Wafungaji wa magoli ya Small Tiger Fc John Nyahiti dakika ya 15 na Greyson Mtingwa kufunga magoli mawili dakika ya 42 na ya 52. 

Magoli ya timu ya Kagwe fc yalifungwa na Kashinje Joseph dakika ya 10 na Mathias Charles dakika ya 36.

Aidha Diwani wa Kata ya Lyambamgongo Boniphance Shitobelo ambae alikuwa mgeni rasmi katika kukabidhi zawadi za washindi wa kata hiyo ambazo ni seti moja ya jezi na mpira mmoja kwa mshindi wa kwanza,  mshindi wa pili Kagwe fc walipewa mpira mmoja. Shitobelo akikabizi zawadi alisema katika kata hiyo kulikuwa na timu nne zilizoshiriki katika mashindano hayo Small tiger fc, Ifunde fc, Kagwe fc na Ishololo fc ikiwa timu iliyo shinda ngazi ya Kata ni Small tiger fc na ushindi huo itaenda kukutana na timu nne mabingwa wa Kata zingine ngazi ya Tarafa ya Bukombe.Shitobelo aliwataka wachezaji kuwa na ushirikiano na timu zilizo shindwa ilikuongeza nguvu na kutwaa ubingwa kwa ngazi inayofuata.

Kwa upande wake nahodha wa Timu ya Small Tiger Fc John Nyahiti alianza kwa kumshukuru Mbunge wa Jimbo la Bukombe Doto Mashaka Biteko kwa uamuzi wake wa kuwaunganisha vijana ki michezo na kuwashukuru wachezaji wenzake kwa kuwa na ushirikiano hadi wameibuka mabibwa wa Kata huku wakiwahahakishia mashabiki wao kutwaa ubingwa wa Doto cup 2019 katika ngazi ya Wilaya naye nohodha wa timu ya Kagwe fc Ngusa Sameke alisema mchezo ulikuwa mzuri na kwamba haya matoke wameyapokea vyema. 

Katika kiwanja cha michezo Kata ya Iyogelo kwa mjibu wa msimamizi wa fainali ngazi ya Kata Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Miguu Mkoa wa Geita (GEREFA) Joseph Kabote alisema Timu zilizoshiriki kwenye Kata hiyo ni  Iyogelo Fc, Shibingo Fc, Bugando Fc, Nyamakunkwa Fc. Kabote alisema katika fainali hiyo timu ya Iyogelo Fc imeibuka bigwa wa Kata baada ya kuichapa timu ya Shibigo Fc goli 9-8 huku timu hizo mbili zilicheza na kutoka sale ya moja kwa moja na kuingia kutega matuta.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa