• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

suala la utoro na mimba mashuleni kuwa agenda ya kudzu kamati ya maendeleo ya kata

Imewekwa: July 18th, 2018

Baraza la waheshimiwa Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe leo kwa kauli moja wameazimia suela ya mimba  kwa watoto wa shule wasichana na utoro mashuleni kuwa ajenda ya kudumu katika vikao vya  kamati ya maendeleo ya kata (WDC).

Wahemishimiwa madiwani wamefikia maamuzi hayo baada ya kugundua bado kuna tatizo la mimba kwa wanafunzi wa kike , na utoro wa wanafunzi , na kwa kuona hivyo sasa waheshimiwa madiwani wameona ipo haja ya kushughulikia tatizo hilo kuanzia  ngazi ya kijiji ambapo kila shule ikusanye taarifa za utoro wa wanafunzi na mimba kwa watoto wa kike waliopo mashuleni na taarifa hiyo kuwasilishwa katika kila kikao cha kamati ya maendeleo ya kata.

 Katika Baraza hilo la Madiwani Mwenyekiti wa Halmashauri mhe.Safari Nicas Mayala amesema kila diwani akawe chachu ya kuhamisisha maendeleo katika kata ya hususani ujenzi wa Zahanati ili kusogeza  huduma zaidi kwa wananchi , pia na kuongeza vyumba vya madarasa kwa ajili ya ujenzi wa shule.

Diwani wa kata ya Bulangwa mhe Yusuph Mohamed ameunga mkono hoja yam he Mwenyekiti, na kueleza kuwa katika kata yake, amefanikiwa kuhamasisha wananchi kuchangia zaidi ya milioni 3, ujenzi wa vyumba vitatu vya kisasa vya madarasa  katika shule ya sekondari Ushirombo, pia amehamasisha ujenzi wa vyumba vitano shule ya msingi azimio na vyumba vitatu shule ya msingi ushirombo.

Naye Diwani wa kata ya Igulwa mhe.Richard Mabega amesema kata yake haina shule ya sekondari hata moja, lakini kwa uhamasishaji unaoendelea wa ujenzi wa vyumba vitano vya madarasa, ameomba sasa ofisi ya Mkurugenzi iweze  kusaidia kukamilisha miundombinu hiyo kwani wamefikia hatua ya kuezeka,na tayari ameshapata mabati zaidi ya 200 kutoka kwa wadau mbalimbali katika kata yake.

Pia Diwani wa kata ya Busonzo ambaye ndiye Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Safari Nicas Mayala amesema kata yake imehamasika kujenga zahanati kwa kila kijiji baada ya Mkuu wa Mkoa wa Geita mhe. Robert Gabriel Luhumbi kushiriki ujenzi wa zahanati   katika vijiji vya Nampalahala na Kabagole, imeleta chachu kubwa na hari ya kujitolea kwa wananchi, “Mkuu wa mkoa wetu ameshiriki sio Busonzo tu bali na kijiji cha Shilabela kilichopo kata ya Namonge.

 Aidha Baraza la Madiwani limesisitiza Afisa Mifugo kuhahakikisha wanawatokomeza kabisa mbwa wanaozagaa hovyo mtaani kwani ni habari kwa wananchi hususani watoto, kumekuwa na matukio mengi ya watoto kung’atwa na mbwa mpaka kupelekea mtoto huyo kutoka Bulega kufariki dunia. 

                Mwenyekiti wa Halmashauri mhe. Safari Nicas Mayala akifungua mkutano wa Baraza la waheshimiwa madiwani.

                                                  Waheshimiwa madiwani wakiwa katika mkutano wa baraza la waheshimiwa madiwani.

                           Wakuu wa idara mbalimbali na wananchi wakiwa katika mkutano wa baraza la waheshimiwa madiwani.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa