• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

TFS Yakabidhi Madawati 100

Imewekwa: September 26th, 2022

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umekabidhi  jumla ya madawati 100 kwa Mkuu wa Wilaya ya Bukombe kwa ajili ya shule ya msingi Nakayenze na Nampalahala ambazo zinapakana na Hifadhi ya Msitu wa Biharamulo/Kahama.

Akiongea wakati wa Makabidhiano hayo kwa niaba ya Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Mhifadhi Misitu Wilaya Emilian Alex amesema wametoa madawati hayo ili wananchi waone umuhimu wa kutunza misitu.

"Tumetoa madawati haya ili wananchi wanaoishi kuzunguka hifadhi waone umuhimu wa kutunza misitu na kuendelea kupata faida za uhifadhi zile zinazoonekana na zisizoonekana kwa macho."

Aidha aliendelea kusema kuwa madawati hayo yamegawanywa mara mbili ambapo shule ya Msingi Nampalahala imepatiwa madawati 40 na shule ya Msingi Nakayenze madawati 60 ambapo mgawanyo huo umezingatia hali ya uhaba wa madawati kwa kila shule.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Said Nkumba awewashukuru Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania  kwa kupunguza changamoto ya uhaba wa madawati na amewataka wanafunzi kuhakikisha wanayatunza madawati hayo ili yaweze kudumu.

"Ninaamini kuwa madawati haya  yanakwenda kupunguza changamoto ya uhaba wa madawati  hakikisheni mnayatunza vizuri ili yaweze kudumu kwa muda mrefu."

Aidha amewataka wananchi kuhakikisha wanalinda maliasili pamoja na kutoa taarifa za uhalifu kwenye ngazi husika.

"Wananchi toeni taarifa za uhalifu kwenye ngazi husika kwa kuwa  sisi wote ni wanufaika wa Hifadhi za Misitu  kwa kupata maji, hewa safi na mvua."

Kwa upande wake Diwani wa kata ya Busonzo Mhe.Nicas Mayala amewataka wananchi kuacha tabia ya kuwaona Wahifadhi ni maadui pale wanapotekeleza majukumu yao.

"Wananchi wenzangu Wahifadhi si maadui bali wanatekeleza majukumu yao  kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za nchi za kulinda rasilimali  kwa ajili ya manufaa ya kizazi cha sasa na cha baadae.

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa niaba ya Wizara ya Maliasili na utalii inasimamia hifadhi ya Msitu wa Biharamulo/Kahama wenye ukubwa wa hekta 14,00 na unawajibu wa kusimamia rasilimali Misitu na Nyuki pamoja na kutoa huduma za ugani na msaada wa kitaalamu.


Matangazo

  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba December 02, 2022
  • Ufafanuzi wa Habari iliyochapishwa kwenye tovuti ya Mwananchi Communication ltd October 13, 2021
  • Tushirikiane kuzuia Polio kwa kumpleka Mtoto kupata chanjo ya matone. May 07, 2022
  • Tangazo la Kazi October 13, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Dkt. Mkenda Ahaidi Kujenga VETA Wilaya ya Bukombe

    October 09, 2022
  • Uzinduzi wa Dirisha la Maombi ya Samia Scholarship

    September 27, 2022
  • Walimu Ajira Mpya Wapata Semina Elekezi

    September 27, 2022
  • TFS Yakabidhi Madawati 100

    September 26, 2022
  • Tazama zote

Video

Mweka Hazina na Wahasibu watakiwa kutimiza wajibu wao
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa