• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

"Tuhudumie Mwananchi kwa upendo tuache lugha chafu" DC Nkumba

Imewekwa: September 2nd, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe amewaonya waganga wa Jadi wanaopiga ramli chonganishi waache mara moja kwani zinavunja amani katika familia kwa kuleta mauaji ya wazee na watu wenye ulemavu wa ngozi, amesema hayo katika Mkutano wa hadhara Tarafa ya Bukombe uliofanyika leo.

Pia Mkuu wa wilaya amepiga marufuku kwa Maafisa Mifugo kutoza fedha kwa wafugaji wakati wakitoa huduma ya utaalamu kwa mifugo ilihali wanalipwa mishahara.

Aidha mkuu wa Wilaya ametoa nafasi kwa Wananchi kutoa kero na kuuliza maswali katika Mkutano huo ambao ametoa namba za simu kwa wananchi hao ili waweze kumpa kero moja kwa moja na kwa haraka.

Katika mkutano huo wananchi wametoa kero za Umeme, barabara, huduma za Afya, Mifugo, Pesa za ruzuku kwa kila kijiji , wananchi walitaka pia kufahamu TARURA ni nini? ambayo inashughulika  barabara, ila Toka ako wa mbegu za korosho, na maombi ya Mpango wa TASAF kwa wazee.

Wataalamu waliombatana na Mkuu wa wilaya wametoa majibu na ufafanuzi wa kero mbalimbali zilizowasilishwa na wananchi, suala la umeme REA awamu ya tatu itahakikisha kila kijiji kinapata Umeme, TARURA ni wakala wa barabara mjini na vijijini Tanzania, ambayo inashughulikia barabara zote za mjini na vijijini, na kuhusu mpango Wa TASAF kwa wazee tayari kuna kaya ambazo wazee wamefikiwa na mpango huo baada ya kupitishwa na wanakijiji katika mkutano wa kijiji.

Wananchi watoe taarifa mara moja wanapojibiwa lugha Chafu na wahudumu wa Afya katika Zahanati kwa kutaja majina ya wahusika na hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya watumishi hao.

Wananchi waliojitokeza katika Mkutano wa hadhara Kata ya Bukombe, kijiji cha Bukombe.

Wananchi waliojitokeza katika Mkutano wa hadhara Kata ya Bukombe, kijiji cha Bukombe.

Wananchi waliojitokeza katika Mkutano wa hadhara Kata ya Bukombe, kijiji cha Bukombe.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa