• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Yaliyojiri tarehe 21 Oktoba 2021.

Imewekwa: October 23rd, 2021

Ufunguzi wa Mafunzo kwa Viongozi wa Chama Cha Walimu Tanzania(CWT) Wilaya ya Bukombe.

MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOMBE LUTENGANO MWALWIBA

#Ninawashukuru viongozi wa CWT kwa kuona umuhimu wa kunialika ili nije nizungumze na nyinyi kwa uchache katika mafunzo haya muhimu ya kupeana ujuzi, maalifa na kubadilishana uzoefu.

#Walimu ndiyo kada kubwa kuliko kada nyingine yoyote. unapopata fulsa ya kuongea nao unakuwa umepeleka ujumbe kwa watu wengi.

#Niwapongeze viongozi wa CWT kwa kuandaa mafunzo haya.

#Jambo hili ni jambo la kuigwa na kujifunza kwa kada zingine.

#Nitoe wito kwa vyama vingine waje wajifunze kwenu.

#Kwa kufanya hivyo tunakwenda kutatua matatizo muhimu ya walimu na kubadilishana uzoefu pamoja na kutafuta njia bora ya kushughulikia changamoto.

#Nitumie kikao hiki kukuelekeza Afisa utumishi kuhakikisha kwenye bageti ijayo watumishi wanaendelezwa kitaaluma.

#Hakuna mwajili ambaye hapendi kuwaendeleza watumishi wake.

# Hatuwezi kupeleka watumishi wote lakini tutagusa kila sekta.

#Niendelee kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya jambo kubwa sana kwa wafanyakazi wa Tanzania hasa upandishaji wa Madaraja.

#Bila kuisahau sekta ya walimu ambayo inawatumishi wengi kuliko sekta zingine.

#Maafisa Utumishi wamehakikisha kila mwalimu mwenye sifa na anayestahili amepanda daraja.

#Afisa Utumishi tafuta namna bora ya kuwafikia walimu kwa kufanya hivyo tutaweza kuwasikiliza, kutatua changamoto zao na kurudisha morali ya kufanya kazi.

#Walimu tufanye kazi pamoja na changamoto zilizopo.

#Heshima ya mtu yoyote inatafsiliwa na kuonekana kwa kufanya kazi.

#Onyesheni matokeo mtudai stahiki zenu.

#Na sisi tutahakikisha kwamba tunasimamia stahiki zenu.

#Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe imepokea fedha kiasi cha shilingi Bilioni 2.1 za ujenzi wa vyumba vya madarasa 107 kwa shule za msingi na sekondari.

#Tunamshukuru sana Mhe.Rais Samila Suluhu Hassan kwani huu ni ujenzi Mkubwa sana katika Wilaya yetu ya Bukombe.

#Tunaomba viongozi wa CWT mkatoe ushirikiano kwa Wakuu wa shule na walimu Wakuu ili halmashauri yetu ionekane imefanya vizuri.

KATIBU MSAIDIZI TUME YA UTUMISHI WA WALIMU (TSC) SHIJA NGASSA

#Walimu waliojiendeleza kitaaluma utaratibu umetolewa kuhusu miundo yao ya utumishi.

#Hivyo mnaombwa kupeleka nyaraka zenu Ofisi ya Utumishi kwa ajili ya utekelezaji.

#Zoezi hili linawahusu wale wote ambao miundo yao haina athari kwenye Mishahara.

#Watumishi ambao miundo yao inaathiri mishahara yao wasubiri mpaka maelekezo mengine yatakapotolewa.

KAIMU AFISA UTUMISHI WILAYA MAJAGA TANDASI

#Viongozi elimu mtakayoipata hapa mkawashirikishe na walimu wengine ili tuweze kupata uelewa wa pamoja katika kutekeleza majukumu yetu.

*MWENYEKITI WA CWT WILAYA JOHN JOSEPH LUKIKO.*

#Mkurugenzi Mtendaji tunakurushuku kwa kuja kutufungulia mafunzo yetu.

#Tunakushuru tena kwa kuwakopesha walimu viwanja na hatimaye waweze kumilikishwa.

#Walimu wenzangu tuvilipie viwanja hivi kidogo kidogo na hatimaye tuweze kumiliki ardhi.

Imetolewa na-:

Kitengo cha TEHAMA

Halmashsuri ya Wilaya ya Bukombe

Tarehe 21 Oktoba, 2021.





Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa