• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Ujenzi wa vyumba vya madarasa wilaya ya Bukombe wapamba Moto

Imewekwa: February 13th, 2018

Wananchi wilaya ya Bukombe waendelea kuhamasika na ujenzi wa miundombinu ya sekta ya elimu,ambapo hadi sasa ujenzi wa vyumba vya Madarasa 170 vya shule za msingi umeanza kwa Shule mpya 18.

Katika Shule hizo mpya,Shule ya Msingi Ilyamchele  iliyopo kata ya Namonge imefikia hatua nzuri ya kuanza rasmi, kwani Mpaka Sasa Ina vyumba vinne vilivyokamilika na maboma mawili ambayo yapo katika hatua za ukamilishaji,juhudi za uhamasishaji zinaendelea kwa kuamsha ari ya jamii kushiriki na kuchangia shughuli za maendeleo, huku wakiendelea kufafanuliwa waraka namba 6 unaoeleza wajibu wa Serikali ,mzazi na jamii.

Aidha Watendaji wa Kata,vijiji na maafisa elimu kata wamefunga mkataba wa mwajiri kuhakikisha wanahamasisha Na kusimamia ujenzi wa miundombinu. Na kujiwekea malengo Kuwa ifikapo mwezi juni 2018 mahitaji ya vyumba 131 kwa wanafunzi wa darasa la kwanza viwe vimekamilika.

Huku ujenzi wa vyumba vya Madarasa kwa Shule za sekondari ukiendelea ambapo hadi kufikia Sasa vyumba 26 Vimejengwa,misingi ya madarasa mitano,maboma ya madarasa 12 yamekamilika,vyumba 7 vya Madarasa vimepauliwa,Madarasa 2 katika hatua ya lipu.

Uhamasishaji huu umeanza baada ya Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel kuzindua kampeni ya ujenzi wa miundombinu ya sekta ya Elimu na Afya, na hii imetokana na upungufu mkubwa wa vyumba vya madarasa kwa mwaka 2018 kutokana na uandikishaji mpya wa wanafunzi wa awali na wanafunzi wa darasa la kwanza. 

Ukamilishaji wa miundombinu hit ya Shule za msingi utapunguza upungufu wa Madarasa 131,harassa kwa Mwananchi ya kuchangia kwa hiyari na mali bado inaendelea katika kata ya Bulega ambapo vyumba vya madarasa vitano vimefikia hatua ya renta,na msingi wa vyumba viwili vya madarasa na ofisi ya walimu moja.  


                                   Shule ya Msingi Azimio  kata ya Bulangwa ikiwa katika hate ya Renta ujenzi wa vyumba vitatu.

                          Shule ya musing Ushirombo kata ya Bulangwa ikiwa hatua ya kupandisha vyumba viwili vya madarasa.

Shule ya Msingi Kapela kata ya Igulwa ikiwa katika hatua ya renta ya vyumba vitatu vya madarasa.

Ujenzi wa vyumba Vitano vya shule shikizi kata ya Bulega na musing wa vyumba viwili na ofisi moja ya walimu.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa