• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Ulinzi wa Kigosi Moyowosi Bukombe kuimarika.

Imewekwa: May 19th, 2017

Meneja wa pori la Kigosi Moyowosi Bwana Imani J. Mkonda ametoa ufafanuzi wa faida za kuimarisha ulinzi wa pori la Kigosi.

Akiongea kwenye Mkutano wa Baraza la Halmashauri uliofanyika kupokea na kujadili taarifa za  utekelezaji robo tatu. Meneja alomba wananchi kuzingatia uhifadhi wa pori la Kigosi Moyowosi ambalo faida zake ni pamoja na kuongeza wanyama ambao ni kivutio cha watalii,pili ni misitu inaleta mvua  hali inayosababisha upatikanaji wa mvua maeneo haya ukilinganisha na sehemu nyingine.Waheshimiwa Madiwani wamehoji  vitendo vya kikatili vinavyofanywa na baadhi ya Askari wa wanyamapori kwa Mwananchi, katika kujibu hoja hiyo Meneja ameeleza askari nyamapori wanatakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia sheria na taratibu za kazi zao na wale askari wanaokiuka wanapaswa kuchukuliwa hatua kama watumishi wengine wanavyofanya makosa,pia meneja amewaomba waheshimiwa madiwani kutoa taarifa haraka iwezekanavyo inapotokea mwananchi amefanyiwa kitendo cha kikatili na askari has ili hate za kinidhamu zichukuliwe mara moja.

Katika  kujibu ombi la Mhe.Juma Lushiku diwani wa kata ya Iyogelo kuwa Mwananchi kuruhusiwa kuingia kwenye hifadhi ya msitu wa Kigosi Moyowosi kwasasa Hifadhi inafanya utaratibu wa namna nzuri ya kutoa vibali kuvua samaki na kusisitiza wananchi wanapopewa  vibali hivyo basi wazingatie masharti yaliyopo na sio kujiingiza katika vitendo vya kiarifu mfano kuwinda wanyama,na kuchimba madini ya dhahabu katika hifadhi ya mista wa Kigosi Moyowosi,"kumekuwa na tabia ya kuomba kibali cha kulina asali  au kuvua samaki badala yake akiruhusiwa anaenda kuchimba dhahabu ambapo ni kinyume na kibali chaque hivyo anakuwa amevunja sheria". amesema Meneja huyo.

Aidha amefafanua kwanini Halmashauri ya wilaya ya Bukombe inakosa asilimia 25 (25%) yanayotokana na uwindaji, mapato hayo yanakosekana kutokana na kitalu kilichopo wilayani Bukombe  kutopata watalii kwa muda mrefu kutokana na Mwananchi kuendeleza kuvamia hifadhi kwa kuingiza mifugo hali iliyopelekea wanyama kuhama."Waheshimiwa madiwani wananchi waelimishwe kuondoa mifugo kwenye hifadhi ya Kigosi Moyowosi ili kuruhusu wanyama warudi kwenye hivi Vitalu vilivyopo Bukombe".amesisitiza Meneja huyo



 Waheshimiwa Madiwani wakisikiliza kwa makini maelezo ya Meneja wa Hifadhi ya msitu Kigosi Moyowosi.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa