• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

“Ulipaji wa fidia uwekwe wazi kwa wananchi” DC Nkumba

Imewekwa: September 27th, 2018

Wananchi wa Kijiji cha Bukombe, kata ya Bukombe leo wamemthibitishia Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe . Said Nkumba kuwa taratibu zote za uthamini wa ardhi na ulipaji wa fidia kwa maeneo yatakayopitiwa na ujenzi wa kambi ya wafanyakazi wa Bomba la Mafuta linaloekea Tanga kutoka Uganda ulikuwa shirikishi na wa wazi, na kuwa wamekubali kulipwa fidia wanazostahili bila malalamiko yoyote.

Mkuu wa Wilaya alitaka kujiridhisha kupitia kwa wananchi wenyewe pasipokuwa na mashaka wala malalamiko yoyote kutoka kwa wananchi kuhusu taratibu zozote ambazo hawakuridhishwa nazo wakati wa zoezi la utambuzi wa maeneo mpaka kulipwa fidia zao. Katika Kikao hicho wananchi  wanaostahili kulipwa fidia, mmoja mmoja kwa nafasi yake wamesema mchakato mzima wa utambuzi wa maeneo hayo mpaka hatua ya kulipwa fidia umekuwa shirikishi na wawazi hivyo wameridhika na hawana malalamiko yoyote.

Takribani Watu 52 mane yao yatapitiwa na ujenzi wa kambi hiyo ambayo itaajiri wafanyakazi zaidi ya 1000, ikiwa kama fursa kwa wanaBukombe wenye sifa zinazokidhi kupata ajira, pia  kwa wana Bukombe ambao ni wajasiliamali watapata nafasi ya kuuza bidhaa mbalimbali ambazo ni mahitaji muhimu ya binadamu, mazao ya kilimo, biashara za nguo na mifugo.

Mwananchi wa kijiji cha Bukombe akishika mkono na Mkuu wa wilaya ishara ya kukubali namna watakavyolipwa fidia zao.

Bibi ambaye ni mwananchi wa kijiji cha Bukombe akimthibitishia Mkuu wa wilaya ya Bukombe kuridhika na namna ya kulipwa fidia.

Mwananchi kutoka Bukombe akimthibitishia Mkuu wa wilaya ya Bukombe namna wanavyolipwa fidia.

Mwananchi wa kijiji cha Bukombe akishika mkono na Mkuu wa wilaya ishara ya kukubali namna watakavyolipwa fidia zao.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa