• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Usafi wa Mazingira ni Afya na ni Jukumu letu Sote

Imewekwa: February 25th, 2023

Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Lutengano Mwalwiba amewataka wananchi wa Wilaya ya Bukombe kujenga tabia ya kufanya usafi wa mazingira katika maeneo yao yanayowazunguka kwani usafi ni Afya na ni jukumu letu sote katika kuzuia maradhi.

Mwalwiba ameyasema hayo leo tarehe 25 Februari, 2023 wakati wa zoezi  la usafi wa mazingira la kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi lililofanyika katika kijiji cha Kiziba katika Zahanati mpya iliyojegwa kupitia Mradi wa Miundombinu ya kuondoa umasikini TASAF kwa kushirikia na wakuu wa Divisheni, Vitengo pamoja na wananchi wa kijiji cha Kiziba.

Aidha Mwalwiba amewashukuru wananchi kwa kuitikia wito huo wa kufanya usafi.

"Ninawashukuru sana kwa kuja, suala la ushirikiano katika shughuli za usafi ni jambo zuri na linatia moyo. Tumefanya kazi kwa pamoja na kazi imekamilika kwa muda mfupi."

Vile vile amemuagiza Mganga Mkuu wa Wilaya kuhakikisha anafuatilia suala la usajili wa Zahanati hiyo ili iweze kutoa huduma kwa wananchi.

Zahanati hii imekamilika tunataka ianze kutoa huduma kwa wananchi kwani wananchi wamekuwa wakitembea umbali mrefu kwenda kufuata huduma za afya katika kituo cha Afya Ushirombo sasa tunataka huduma hizi wazipate hapa hapa."

Kwa upande wake Richard Edward Mkazi wa kijiji cha Kiziba kwa niaba ya wananchi wa kiziba ameushukuru Uongozi wa halmashauri ya Wilaya kwa kushirikiananao katika zoezi la usafi na wameahidi kutunza miundombinu ya kituo hicho ili iweze kudumu kwa muda mrefu.

Ujenzi wa Zahanati ya kiziba umegharibu kiasi cha shilingi milioni  103.5 ambapo TASAF ilichangia kiasi cha shilingi Milioni 92.4 na wananchi walichangia kiasi cha shilingi milioni 13.010 kupitia awamu ya nne ya TPRP IV  chini ya Jumuiya ya nchi zinazozalisha Mafuta Duniani OPEC.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

UMISSETA BUKOMBE WAAHIDI KURUDI NA USHINDI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa