• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Ushirombo Woriaz Waipiga Msindikwa Fc 3-0 Ngazi Ya Tarafa.

Imewekwa: July 29th, 2019

Mashindano ya Doto Cup 2019 ngazi ya tarafa yameaza kutimua vumbi timu ya Ushirombo worianzi toka kata ya Bulangwa ameipinga timu ya Msindikwa fc 3-0 toka kata ya Ushirombo. Wafungaji wa timu ya Ushirombo woriazi Bahati Songoma dakika ya 23 goli la pili lilifungwa na Juma Bokasa dakika ya 55 na goli la tatu limefungwa na Juma Bokasa dakika ya 76. Kocha wa timu ya Ushirombo woriazi Joseph Kabote amesema kikosichake kiko imala na kwamba vijana katika mshezo wao hawakumfurahisha sana make anawajuwa wako vizuri. 

Kabote ameongeza kuwa walibeba ubingwa wakata na watarafa ya Ushirombo wataubeba ili wakatafute ubingwa ngazi ya Wilaya.Kocha wa timu ya msindikwa fc Wiliam Julius amesema asiekubali kushindwa simusindani na kwamba anamshukuru mungu wachezaji wake wametoka wazima na wamecheza vizuri watajipanga tena mwaka kesho. Katibu wa chama cha mpira wa miguu wilaya ya Bukombe Bosco Mwidadi amesema katika uwanja wa tarafa ya kimichezo Bulega Nsagal fc imeichapa Roma fc 6-4 kwa njia ya mikwaju ya penaliti. Mwidadi amesema katika uwanja wa tarafa ya Siloka katika kijiji cha Ikuzi kata ya Rungewe mashariki timu ya Academy fc imepewa pointi tatu baada ya timu ya Makilikili fc ya Ikuzi kushindwa kufika uwanjani.



Amesema  katika mashindano ya tarafa ya Bukombe timu ya Small tiger ya kata ya Lyambamgongo imepigwa na timu ya Bukombe star fc goli 4-1 kwa njia ya penaliti dakika 90 za mchezo ziliisha bila bila. Mwidadi amesema mashindano ngazi ya tarafa yanaendelea kutimua vumbi viwanja vya tarafa nne Bukombe, Ushirombo na Siloka, na tarafa nyingine ya kimichezo Bulega.Amesema mshindi wa kwanza kitarafa atapata zawadi ya seti ya jezi moja na mpira thamani ya sh 125,000 kitita cha fedha cha sh 100,000 mshindi wa pili wa tarafa atatoka na zawadi ya mpila mmoja wenye thamani ya sh 50,000 nakitita cha fedha sh 50000.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa