• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Uzinduzi wa zoezi la ugawaji wa vitambulisho kwa wajasiliamali

Imewekwa: January 1st, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Said Nkumba tarehe 31 Disemba, 2018 amezindua rasmi zoezi la ugawaji wa vitambulisho kwa wajasiliamali wadogo wadogo lengo likiwa ni kuwapunguzia kero ya kusumbuliwa kulipa ushuru ili waweze kufanya shughuli zao bila bughudha yoyote.

“Vitambulishi hivi vimetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Joseph Pombe Magufuli kwa wafanyabiashara wote wadogo wadogo ambao mauzo yao hayazidi Tsh 4,000,000.00 kwa mwaka na kwa mwezi Tsh 11,000.00” Mhe. Nkumba aliyasema hayo wakati akiongea na wafanyabiashara wa kata ya Katente kitongoji cha Majengo siku hiyo ya uzinduzi wa vitambulisho hivyo.

Mhe. Nkumba alisema kuwa wafanyabiashara wanaopewa vitambulisho ni wale ambao hawajasajiliwa na TRA. “Wafanyabiashara wanaopewa vitambulisho ni wale ambao kwa namna moja au nyingine hawajapata usajili wa kulipa kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na ni fulsa kwenu kuchangamkia hii tenda mapema”

Naye Diwani wa kata ya Katente Mhe.Bahati Kayagila amewataka wafanyabiashara hao kujitokeze kwa wingi kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho hivyo ili wasije kulaumu baadaye wakati zoezi limekwisha kuwa wamesahaulika.

Kwa upande wake mfanyabiashara mdogo Ndg. Anna Yohana Masinga amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli kwa kuchukua jukumu la kuwapatia vitambulisho.

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe imepokea jumla ya vitambulisho 5,000 vitakavyogawiwa kwa wafanyabiashara wadogo wadogo kama wachimbaji wa madini wenye vipato vidogo, bodaboda, waendesha baskeli (daladala), mama lishe, wamachinga, vikundi vya wafanyabiashara na mafundi wadogo wadogo.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa