• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

VIJIJI VYA WILAYA YA BUKOMBE VYAPATA UMEME KWA ASILIMIA 100.

Imewekwa: March 2nd, 2024

Jumla ya vijiji 64  vya Wilaya ya Bukombe vimepata umeme na kupelekea kufikia asilimia 100 ya vijiji vyote 64. Umuhimu wa huduma hii utapelekea maendeleo katika huduma za elimu, afya na sekta nyingine za kiuchumi.

Hayo ameyasema Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Said Nkumba wakati wa hafla ya uzinduzi wa kuwasha umeme katika kijiji cha Bwenda kilichopo kata ya Namonge.

Aidha Nkumba amewataka wananchi kuhakikisha wanalinda na kutunda miundombinu hiyo.

" Sitakuwa na huruma kwa mtu yoyote atakayeharibu miundombinu hii. Tuitunze na kuilinda ili iweze kudumu kwa muda mrefu na kwa kizazi cha baadaye."

Vile vile amewapongeza watumishi wa TANESCO Wilaya ya Bukombe  kwa usimamizi mzuri wa mradi.

"Hongereni kwa usimamizi mzuri wa mradi kwani mmeweza kumaliza changamoto ya upatikanaji wa umeme vijijini na sasa tujielekeze kwenye vitongoji."

Kwa upande wake Meneja wa TANESCO Wilaya ya Bukombe Mhandisi Valerian Myula amesema mradi wa kupeleka umeme vijijini kupitia REA awamu ya tatu mzunguko wa pili katika Wilaya ya Bukombe unatekelezwa na Mkandarasi anayejulikana kwa jina la CRJE- CTCE CONSORTIUM na Mkandarasi mshauri ni MERCADOS - ARIES INTERNATIONAL na mnufaika wa mradi huo ni TANESCO. Jumla ya vijiji vitano ambavyo ni Ifunde, Ihako, Buguba, Ibambilo na Bwenda vimenufaika na mradi huo.

Aidha Mhandisi Valerian Myula aliendelea kusema mradi umegharimu kiasi cha shilingi 1,173,322,136.31 ambazo zimetolewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia wakala wa Umeme Vijijini (REA) na jumla ya shilingi 261, 704, 499.30 zimetumika kuleta umeme katika kijiji cha Bwenda.

Akiongea kwa niaba ya Wananchi Diwani wa Kata ya Namonge Mhe.Mlalu Bundala ameishukuru Serikali kwa kuhakikisha wananchi wa Bwenda wanapata umeme wa uhakika ambao utasaidia kujiinua kiuchumi kwa kufanya biashara ndogo ndogo.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa