• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Waamuzi wa Ligi Ya Doto CUP watakiwa Kusimamia Sheria 17 za Mpira wa Miguu

Imewekwa: July 8th, 2019

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoani Geita,(GEREFA)  Joseph Kaboteakiongoza Kamati y Doto Cup 2019 katika ukaguzi wa timu hizo.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoani Geita,(GEREFA)  Joseph Kabote amewataka waamzi  waliopangwa kuchezesha ligi ya mbunge wa jimbo la Bukombe Doto Biteko wahakikishe wanazingatia sheria 17 za mpira wa miguu.

Kabote alitowa wito huo wakati akifungua mashindano ya Ligi ya Doto Cup 2019 katika uwanja wa mwenge kata ya Uyovu zilipo kutana timu ya Simba na Yanga za kata hiyo kufungua mashindano.

Kabote amesema iwapo mwamzi ataenda kinyume na sheria atakuwa hajazingatia madili na uweledi wa kutimiza majukumu yake na mwisho wa ligi chama cha waamzi kunzia ngazi ya wilaya na mkoa watawashugulikia watakao fanya kazi kwa masilahi yao binafisi.

Amesema kazi ya Mhe Biteko imekuwa ni akiwaunganisha vijana wa Jimbo la Bukombe kwenye nyanja mbali mbali za kimaendeleo na michenzo kila mwaka tangu 2016.

Kabote amewaomba viongozi wa vilabu vitakavyo shiriki kwenye mashindano kutumia frusa hiyo kuwania kucheza ligi ya vodacom na daraja la Pili, inawezekana iwapo watajituma kwa kutambua kuwa michezo ni ajira.

Kwa upande wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Bukombe (BUFA) Bosco Mwidadi amesema katika ligi hiyo zinashiriki timu 155 na kwamba mshindi wa kwanza atajinyakulia zawadi ya Sh 500,000 na jezi seti tatu na mipira mitatu na medali moja kwa kila mchezaji, mshindi wa pili atabeba sh 300,000 jezi seti mbili na mipira miwili na medalikwa kila mchezaji mshindi wa watatu atachukuwa sh 200,000 jezi seti moja mpira mmoja

Makamu Mwenyekiti wa chama cha waamzi Wilaya ya Bukombe (FLATI) Jofrey Msakila ambaye alikuwa mwamzi wa kati katika ufunguzi huo alisema wito wa makamu mwenyekiti wa (GEREFA) chama cha waamzi kitayafanyia kazi na mwamzi atakae lalamikiwa atachukuliwa hatua.

Kikosi Cha Yanga kutoka Uyovu-Bukombe.

Kikosi cha Timu ya Simba uyovu - Bukombe.

Michuano ikiendelea katika ufunguzi wa Doto Cup

        Kama kawaida ya mashabiki wa soka uwanjani.

 Nahodha wa kikosi cha yanga (uyovu) akiwaonyesha mashabiki baada ya kukabidhiwa zawadi.

  Nahodha wa kikosi cha Simba (uyovu) akikabidhiwa zawadi na Mgeni rasmi

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa