• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Walezi wa Kata watakiwa kusimamia ujenzi wa madarasa.

Imewekwa: December 2nd, 2021

Walezi wa Kata watakiwa kusimamia Ujenzi wa Madarasa.

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhe. Rosemary Senyamule leo Disemba 01, 2021 amefanya ziara wilayani Bukombe ambapo amewataka walezi wa kata kusimamia kwa kina ujenzi wa vyumba vya madarasa ili kukamilisha ifikapo mwezi disemba 15, 2021.

"Suala ya saruji iendelee kuagiza kutoka kwenye vyanzo mbalimbali sio kutegemea kutoka sehemu moja ili ndani ya siku hizi zilizobaki tufanye mapinduzi makubwa kwenye ukamilishaji wa madarasa." Amesema Mkuu wa Mkoa.

Akisoma taarifa ya hali ya ujenzi wa vyumba vya madarasa, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Bukombe Ndugu Lutengano George Mwalwiba amesema uhaba wa saruji ndio tatizo linalorudisha nyuma ujenzi wa vyumba vya madarasa na kwamba wanafanya juhudi kubwa kuhakikisha wanapata ya kutosha na kukamilisha ujenzi huo.

"Mhe. Mkuu wa Mkoa mpaka siku ya jana tuna asilimia 27 ya utekelezaji wa Ujenzi wa vyumba vya Madarasa na kwamba Nyang'hwale na Bukombe wanafanya vizuri zaidi ukilinganisha Halmashauri zingine, pia Halmashauri ya Geita ndio ambao wako nyuma zaidi kutokana na changamoto mbalimbali walizonazo." Deodatus Kayango, Katibu Tawala Msaidizi Mipango na Ufuatiliaji.

Afisa TAKUKURU Mkoa amesema, wao kama taasisi wametoa wataalamu wa ujenzi kusaidia kushauri kitaalamu juu ya ujenzi wa Miundombinu ya madarasa ili kuongeza spidi ya ujenzi na kuhakikisha wanakamilisha kwa wakati na kwa ubora.

Katibu Tawala Mkoa, Ndugu Musa Chogero amewataka Halmashauri ya Geita yenye ujenzi wa zaidi ya vyumba vya madarasa 300 kwa zaidi ya Tshs. Bilioni 6 kuongeza spidi ya ujenzi na usimamizi ili kuhakikisha wanakamilisha ujenzi kwa wakati.




Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa