• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wamiliki wa Vibanda soko la Mabatini waridhia kulipa ushuru wa Halmashauri.

Imewekwa: October 20th, 2021

Wamiliki wa vibanda soko la Mabatini katika kijiji cha Lyobahika kata ya Uyovu Wilayani Bukombe wameridhia kulipa ushuru uliopangwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za halmashauri ili mapato hayo yaweze kuwaletea maendeleo katika maeneo hayo.

Akiongea katika kikao hicho Mwenyekiti wa Soko la Mabatini Gembe Meta amesema.

" Mkurugenzi Mtendaji pamoja na viongozi ulioambatananao sitawaangusha nitakuwa bega kwa bega kuhakikisha mapato ya halmashari yanapatikana na kukusanywa katika soko letu la Mabatini."

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Lutengano Mwalwiba amewataka viongozi wa soko kuwa na mahusiano mazuri na wafanyabiashara ili kujenga umoja na mshikamano.

Aidha amewataka wafanyabiashara hao kulipa ushuru wa halmashauri katika muda uliopangwa.

"Lipeni ushuru wa halmashauri katika muda uliopangwa ili tuweze kuleta huduma bora na kwa wakati kwa wananchi wetu ikiwemo miradi ya maendeleo pamoja na kutoa mikopo kwa makundi maalumu wakiwemo Vijana, Wanawake na watu wenye Ulemavu."

Lutengano ameyasema hayo tarehe 19 oktoba,2021 wakati wa kikao cha wamiliki wa vibanda wa soko la Mabatini pamoja na Kamati ya mapato ya Wilaya.

Akiongea katika kikao hicho Afisa kilimo na umwagiliaji Wilaya Joseph Machibya amesema dhamila ya halmashauri ni kuwahudumia wananchi wake hivyo basi lipeni tozo za halmashauri kwa maendeleo ya wanauyovu na wanabukombe.

Naye Afisa Mipango wa Wilaya Sylivia Rwehabura amesema kwa mwaka wa fedha 2021/22 halmashauri ilipanga kukarabati choo cha soko la Mabatini na utekelezaji umefanyika kwa asilimia 98 na hayo ndiyo matunda ya kulipa tozo.

Mhe. Inyasi Kulusanga Diwani wa Kata ya Uyovu amemuomba Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri kuhakikisha anawajengea wafanyabiashara wa soko hilo miundombinu ya mitaro ya maji, kuweka umeme ili kuimarisha ulinzi pamoja na kupeleka huduma ya maji safi.

Tozo zilizopangwa na halmashauri kwa mujibu wa sheria kwa wafanyabiashara katika Masoko ni vibanda vya mzunguko shilingi 10,000 kwa mwezi, Vizimba shilingi 6,000 kwa mwezi na tozo ya usafi shilingi 200 kwa siku.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa