• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wananchi Mtuunge Mkono Mapambano dhidi ya Vitendo vya Ukatili

Imewekwa: December 10th, 2022

Mkuu wa Kitengo cha Maliasili na Utunzaji wa Mazingira Wilaya Gervas Magashi kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji amewataka wananchi wa Wilaya ya Bukombe kuhakikisha wanaunga mkono mapambano dhidi ya  vitendo vya ukatili wa kijinsia.

"Tutapopambana na vitendo vya ukatili  tutakuwa tumedumisha Taifa lililojaa amani na msingi wa haki za binadamu."

Magashi ameyasema hayo tarehe 10 Desemba, 2022 wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto yaliyofanyika  shule ya msingi Namonge yenye kauli mbiu isemayo " Kila Uhai una Thamani; Tokomeza Mauaji na Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto."

Aidha aliendelea kusema kuwa  jukumu la kuhakikisha wahanga wa vitendo vya ukatili wanapata haki zao za msingi ni la jamii nzima , hivyo kila mmoja wetu anatakiwa kutekeleza jukumu hilo kwa lengo la kuhakikisha tunatokomeza kabisa vitendo vya ukatili.

Kwa upande wake Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya  Rita Kamenya amesema lengo la kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili ni kutoa elimu kwa umma juu ya madhara ya ukatili na kuhakikisha kila mtu anakuwa barozi na mlinzi wa wanawake na watoto na kuwa na mshikamano wa pamoja wa kupinga vitendo vya ukatili.

Naye A/ INSP. Said Yussuf Ali Polisi Kata Namonge amewataka  wazazi/ walezi kuhakikisha wanatoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi.

"Tupeni ushirikiano kwa kufichua vitendo vya ukatili wala msione aibu ili sheria  ziweze kuchukuliwa dhidi ya wahalifu wa vitendo vya ukatili."

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe katika kutekeleza kampeni  hii imeshirikiana na viongozi wa Taasisi za Dini, Asasi za Kiraia,  Mashujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania ( SMAUJATA), Watendaji wa kata na vijiji pamoja na Kitengo cha  Dawati la jinsia kutoka Jeshi la Polisi



Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa