• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wananchi wa Kata ya Igulwa Washiriki Zoezi la Upandaji Miti

Imewekwa: December 7th, 2022

Wananchi wa kata ya Igulwa pamoja na watumishi kwa kushirikiana na viongozi wa Taasisi za serikali na binafsi  katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe leo tarehe 7 Desemba,  2022 wameshiriki zoezi la upandaji miti katika shule ya sekondari Doto Biteko ikiwa ni kati ya shughuli zilizopangwa kwa ajili ya kuelekea kwenye  kilele cha maadhimisho ya sherehe za miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

Akiongea katika zoezi hilo la upandaji miti Mwenyekiti wa Halmashari ya Wilaya ya Bukombe Mhe.Yusuph Mohamed Yusuph ambaye ndiye mgeni rasmi wa zoezi hilo, amewata wananchi wa kata ya Igulwa kwa kushirikiana na walimu pamoja na wanafunzi kuhakikisha wanaitunza miti hiyo.

"Tunaomba tuendelee kushirikiana katika kutunza miche hii tuliyopanda na usiwepo hata mche mmoja utakaokufa. Kwa kufanya hivyo tutasaidia kutunza mazingira yetu kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kizazi kijacho."

Naye Musa Tendi kwa niaba ya Mhifadhi Misitu Wilaya ya Bukombe amesema ili kuifanya Bukombe ya kijani TFS  imetoa miche 100,000 lengo likiwa ni  kuendelea  kutunza mazingira pamoja na hali ya tabia ya nchi ambapo miti hii itasaidia  upatikanaji wa mvua na kupunguza ongezeko la joto.

Kwa upande wake Afisa Tawala, Ally Mketo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Bukombe  amewashuku wananchi wote kwa kushiriki zoezi hilo muhimu huku akiwataka kuendelea kushiriki zoezi la usafi wa mazingira kwenye maeneo yaliyopangwa  tarehe 8 Desemba, 2022  ikiwa ni muendelezo wa shughuli zilizopangwa kuelekea kwenye kilele cha madhimisho ya sherehe za miaka 61 ya Uhuru.

Kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Uhuru Tanzania Bara yenye kauli mbiu isemayo Miaka 61 ya Uhuru: " AMANI NA UMOJA NI NGUZO YA MAENDELEO YETU." katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe yanatarajiwa kufanyika  tarehe 9 Desemba, 2022 yakiambatana na mazoezi ya viungo, bonanza la michezo katika viwanja vya shule ya sekondari Ushirombo na mdahalo katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa