• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wananchi wa kipato cha chini kunufaika na CHF iliyoboreshwa

Imewekwa: May 3rd, 2018

Wataalamu wa Idara ya Afya na Idara nyingine za Halmashauri Sita za Mkoa wa Geita, Nyangh’wale, Chato, Geita Mji, Geita Vijijini, Mbogwe na Bukombe ambapo mafunzo ya CHF iliyoboreshwa , Jazia dawa na matumizi ya fedha za kununua Vifaa tiba na dawa yamefanyika katika Ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Bukombe.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita Selestine Gesimba, amesema mafunzo haya yatawaimarisha ili wafanye kazi kwa ufanisi na wepesi zaidi, awali kulikuwa na changamoto kwa wananchama wa CHF  walikuwa  hawatibiwi nje ya Wilaya kabla ya kuboreshwa  lakini  kwa sasa kuna mabadiliko makubwa yaliyofanywa na serikali, mwanachama anatibiwa Wilaya yoyote hapa nchini, na kuwaomba wanaoshiriki mafunzo hayo kuhakikisha wanawaelimisha wananchi ili wanufaike na huduma za afya zilizo boreshwa.

Kwa upande wake Mshauri wa Menejimenti ya dawa katika mradi huo, Fiona Chilunda amesema Serikali Mkoani Geita kupitia mradi wa Tuimarishe Afya “Health Promotion and System Strenghtening Project(HPSS), ulioanza kwa kutekelezwa kwenye mikoa mitatu na sasa  nchi nzima  kwa kushirikiana na serikali ya Tanzania na Uswiss imesaidia kuendelea kupunguza changamoto  za upatikanaji wa dawa pamoja na vifaa tiba kuanzia  kwenye vituo vya afya, zahanati na hospitali zote nchini.

Chilunda amesema  mafunzo haya yanajikita katika malengo makuu matatu ambayo ni CHF iliyoboreshwa , JAZIA DAWA pamoja na Matumizi ya fedha kwenye vituo vya afya.

Nae Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita Dk Japhet Simeo amekiri kuwepo kwa baadhi ya changamoto ya ucheleweshwaji wa upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kwa wakati na kwamba kupitia mfumo huu mpya kutarahisisha upatikanaji wa dawa kwa muda sahihi.

Mganga Mkuu wa wilaya ya Bukombe Dk Irene Mukerebe ameipongeza serikali ya Tanzania kwa kuwa na ushirikiano na serikali ya Uswiss hali ambayo italeta mabadiliko makubwa kutokana na mafunzo.

Pia Mganga Mkuu wa Wilaya ya Chato Dk Athanas Ngambakubi amesema kupitia mafunzo hayo kutasaidia kupunguza baadhi ya changamoto kwenye idara ya afya katika Mkoa wa Geita.

Watalamu mbalimbali wakisikiliza Hotuba ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita Selentine Gesimba akieleza dhumuni la Mafunzo hayo kwa Wataalamu hawa.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita Selestine Gesimba akifungua Mafunzo hayo katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe.

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita Dr.Japhet Simeo akiongea katika ufunguzi wa Mafunzo hayo na kukiri Changamoto ya ucheleweshwaji wa Dawa na vifaa tiba.

Mganga Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Dr. Irene Mukerebe (aliyesimama) ameshukuru ujio wa Mafunzo hayo katika Wilaya ya Bukombe.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa