• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wananchi washerekea miaka 60 ya Uhuru kwa kushiriki shughuli za maendeleo.

Imewekwa: December 9th, 2021

Wananchi wa kata ya Iyogelo Wilayani Bukombe leo tarehe 9 Disemba, 2021 wamesherehekea miaka 60 ya Uhuru kwa kushiriki kuchimba msingi na kupanga mawe ya vyumba viwili vya madarasa katika shule ya Sekondari Busonge.

Akizungumza katika hafla hiyo Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Said Nkumba amesema.

"Uhuru lazima uendane na moyo wa wananchi kujitolea katika shughuli za maendeleo ili tuweze kuijenga Wilaya ya Bukombe na Taifa kwa ujumla."

Aidha Nkumba ametoa wito kwa wananchi kuendelea kushirikiana na serikali yao na kuachana na baadhi ya viongozi wanaopotosha jamii badala yake waenzi matendo mema ya viongozi wa serikali walioliogoza Taifa kuanzia awamu ya kwanza.

Akiongea katika hafla hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Lutengano George Mwalwiba amewataka wananchi wa Wilaya ya Bukombe kuhakikisha wanashiriki katika shughuli za maendeleo kwa kuwa maendeleo katika Wilaya ya Bukombe yataletwa na wanabukombe wenyewe kwa kufanya kazi.

"Ndugu zangu tuhakikishe tunafanya kazi kwani maendeleo yetu yataletwa na sisi wenyewe."

Vile vile amewashuku viongozi wa kata ya Iyogelo kwa ushirikiano waliouonesha katika maadhimisho hayo.

"Nawashukuru sana viongozi wote wa kata ya Iyogelo kwa ushirikiano mliouonyesha katika shughuli hii ya leo kwani mmeonesha moyo wa kizalendo."

Naye Diwani wa Kata ya Iyogelo Mhe. Juma Lushiku amesema wamejipanga kuhakikisha madarasa hayo yanakamilika kwa wakati na katika ubora uliokusudiwa.

 Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika na miaka 59 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kiwilaya yamefanyika katika kata ya Iyogelo lengo likiwa ni kuamsha hali ya wananchi kujitolea katika kutekeleza miradi ya maendeleo.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa