• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WANAWAKE WAHIMIZWA KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI KATIKA UCHAGUZI-DC NKUMBA

Imewekwa: March 7th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Said Nkumba amewataka wanawake wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.

 “Wanawake changamkieni fursa hii kwa kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali ili mzidi kuleta mabadiliko katika jamii."

Nkumba ameyasema hayo katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambapo Kiwilaya yalifanyika tarehe 06 Machi, 2024 katika viwanja vya Stendi Kuu ya Mabasi Ushirombo.

Vilevile Nkumba amewasihi Wanawake kuwaunga mkono wanawake wenzao watakaojitokeza kuwania nafasi hizo za Uongozi.

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Zedekiah Osano amewapongeza wanawake wote kwa kuadhimisha siku hiyo muhimu.

 “Hongereni Wanawake wote kwa kuadhimisha siku hii muhimu kwenu kwani wanawake ni jeshi kubwa na mnategemewa na jamii na Taifa kwa ujumla katika kuleta Maendeleo na mabadiliko chanya katika jamii yetu”

Naye Mkuu wa Divisheni ya Maendeleo ya Jamii Melania Kwai amesema Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe katika kutekeleza kauli mbiu ya Siku ya Wanawake Duniani 2024 imeweza kufanya zoezi la upimaji wa Saratani ya Shingo ya Kizazi na Matiti, kutoa elimu ya mpango wa dhana ya shule salama kwa wanafunzi  wa shule za Msingi na Sekondari,  Kutembelea Wafungwa na Mahabusu katika Gereza la Wilaya ya Geita pamoja na kutoa taulo za kike kwa baadhi ya shule za Msingi na Sekondari.

Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani hufanyika tarehe 08 Machi ya kila mwaka ambapo kwa mwaka huu yameambatana na Kauli Mbiu isemayo, Wekeza kwa Wanawake; kurahisisha Maendeleo ya Taifa na Ustawi wa Jamii.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa