• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wanawake Wilaya ya Bukombe watakiwa kuwaheshimu wenzi wao kuondoa ukatili wa kijinsia.

Imewekwa: November 9th, 2021

Erneat Magashi, Mwananchi

emagashi@mwananchi.co.tz

Bukombe. Wanawake wilaya ya Bukombe mkoani Geita wametakiwa kuwaeshimu na kuwasikiliza wenzi wao ili kushirikiana pamoja kikamilifu katika malezi bora yatakayo wajengea tabia ya kuchukia vitendo vya ukatili wanapo anza kujitegemea, hali ambayo itaondoa ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto majumbani.

Wito huo umetolewa na Ofisa polisi dawati la jinsia wilaya ya Bukombe Eliwaja Nelson wakati akichagia mada ya Mwanamke sasa Ushiriki wa mwanamke katika uongozi kwenye warsha ya mabarozi wa shirika la WILDAF wilaya ya Bukombe.

Alisema kumekuwepo migogoro ya kuto elewana wanawake na wenza wao kupigana hadharani hali ambayo inapelekea kutelekezeana famili na kujenga zana ya ukatili kwa watoto wakiwa bado wadogo na wanapo kuwa wanakuwa na tabia za kikatili kijinsia.

Alisema watoto wakilelewa malezi bora watapinga vita mira potofu ya ukatili kwa wake zao na watoto kuanzia ngazi ya familia hata wanawake wanapo gombea nafasi za uongozi.

"malezi ya kimaadili tutapata mwanamke mwenye utashi, msimamo, mchapa kazi, mkweli , na hodari, pia mwanamke na uongozi inatakiwa awe jasiri, Mwanamke makini, msikivu mwenyeakili, mwaminifu, mwenye Busara," alisema Nelson.

Ofisa maendeleo ya jamii wilaya ya Bukombe Gerevas Nkonoziku kwaniamba ya ofisa uchaguzi wilaya ya Bukombe alisema wanawake ndo wanaongoza kushiriki kikamirifu katika kuchagua viongozi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu madiwani wabunge na Rais.

Alisema uchaguzi unasimamiwa na tume ya uchaguzi kwa kufata sheria kanuni na miongozo ya uchaguzi haina upendeleo wa kijinsia .

Nkonoziku alisema katika uchaguzi mkuu 2020 upande wa madiwani asilimia 11.7 ni wanawake wameshiriki kugombea na kuchaguliwa huku asilimia 68 wapiga kura ni wanawake.

Mwalimu Jenipha Kisusi aliwaomba wanawake kuwa na ushirikiano wa pamoja kwa kumuunga mkono mwanamke mwenzao anapo jitokeza kugombea nafasi ya uongozi na kuachana na chuki binafisi ambazo hazina sababu haliambayo inapelekea wanawake kumnyima mwanamke mwenzao nafasi au kura.

Mwendesha boda boda Robart Kasawa alisema wanawake ili wafikie malengo ya kuwa viongozi katika nyanja mbali mbali wapendane wasidhaalauliane.

Kasawa alisema wanawake ndo wateja wakubwa wa boda boda lakini muda mwingi wanachukiana na kurushiana maneno yasiyo na upendo yanayo ashiria chuki.

Upande wake mfanyakazi wa shirika la WILDAF Tanzani Rehema Malo alisema wilaya ya Bukombe ni wilaya peke kwa matokeo chanya kwa wanaume kuwaruhusu wanawake kujiunga na vyama vya siasa ili kugombea nafasi ya uongozi katika wilaya 5 nchini zilizopo kwenye mradi Bukombe ya kwanza.

Malo aliwaomba taasisi zinazo unganisha jamii yakiwemo madhehebu ya dini kuendelea kuwapa nafasi za uongozi wanawake ili washiriki katika vikao vya maamzi na uwakirishi.

MWISHO









Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa