• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Washiriki wa Mafunzo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 Kuhakikisha wanafuatilia mafunzo kwa Umakini

Imewekwa: August 4th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Said  Nkumba amewataka washiriki wa Mafunzo ya Sensa ya watu na Makazi 2022 kuhakikisha wanafuatilia mafunzo hayo kwa umakini mkubwa ili nchi iweze kupata takwimu za msingi.

"Hakikisheni mnafuatilia mafunzo haya kwa umakini mkubwa kwani taarifa za idadi ya watu wote kwenye nchi, umri, jinsi, hali zao za elimu, ajira, mahali anapoishi  zitaisaidia serikali kufuatilia na kutathimini Mipango ya Maendeleo ya Taifa.

Hayo ameyasema tarehe 3 Agost, 2022 wakati alipotembelea vituo vya mafunzo kwa niaba ya kamati ya Sensa ya Wilaya. Vituo hivyo ni pamoja na shule ya sekondari Bukombe, shule ya seminari Queen of Apostle, shule ya sekondari Runzewe na kichuo cha Upendo katika Matendo Uyovu.

Aidha amewataka washiriki kuvitunza na kuvitumia vizuri vifaa walivyopewa wakati wa mafunzo hayo.

"Hivi vishikwambi mlivyopewa hakikisheni mnavitunza na kuvitumia vizuri na vitumike kwa mujibu wa Sensa tu. Mtu yoyote atakae vitumia kwa matakwa yake  hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake."

Naye Mshiriki wa mafunzo hayo Ramadhani Mng'oi akitoa shukrani kwa kwa niaba ya washiriki wa mafunzo ya sensa alisema kuwa wapo tayari kusikiliza mafunzo kwa umakini na amemuhaidi Mkuu wa Wilaya kuwa watakapoenda kukusanya taarifa  hizo watafanya kazi hiyo kwa umakini na uafilifu mkubwa ili kupata taarifa sahihi za kila mwanakaya kwa ajili ya maendeleo ya Taifa.

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe ina jumla ya washiriki 783. Makalani 696, Wasimamizi wa Maudhui 70 na TEHAMA 17.

"SENSA KWA MAENDELEO, JIANDAE KUHESABIWA."



Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa