• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Washiriki wa Zoezi la Sensa ya Watu na Makazi Wapatiwa Vyeti vya Pongezi

Imewekwa: September 3rd, 2022


Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Said Nkumba ametoa vyeti vya Pongezi kwa washiriki 816 walioshiriki zoezi la Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2022 katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe.

"Sisi kama Serikali tumeamua kutoa vyeti hivi ili viwe kumbukumbu kwenu na tunatambua mchango wenu kwa kushiriki kikamilifu na kufanikisha zoezi hili muhimu hongereni sana."

Pongezi hizo amezitoa tarehe 3 Septemba, 2022 wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa na Kamati ya Sensa Wilaya iliyolenga kuwapongeza washiriki wa zoezi hilo muhimu la Taifa kwa ajili ya Mpango wa Maendeleo  Endelevu.

Akiongea katika hafla hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Lutengano Mwalwiba amewapongeza washiriki wote kwa kufanikisha ujazaji wa madodoso kwa njia ya kieletroniki.

" Sensa ya mwaka 2022 ilikuwa ya kidijitali na madodoso yote mmefanikisha kuyajaza kwenye vishikwambi hongereni sana."

Naye Mratibu wa Sensa Wilaya Sylvia Rwehabura alisema zoezi hili lilihusisha washiriki 816 wakiwemo  Wasimamizi wa Maudhui, TEHAMA, Makalani pamoja na Wakufunzi 33 ambapo 24 walitoka ngazi ya Halmashauri na 9 walitoka Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS).

Jonathan Joseph Kishimbi Karani kutoka  kata ya Busonzo kwa niaba ya washiriki wenzake ameishukuru Serikali kwa kuwapatia ajira ya muda.

" Tunaishukuru sana Serikali kwa kutupatia ajira ya muda mfupi kwani kiasi cha fedha tulichokipata kimeweza kukidhi sehemu ya mahitaji yetu muhimu. Tunaihaidi serikali kuwa  mazoezi mengine ya kitaifa yatakapotokea tupo tayari kufanya kazi kikamilifu."

Sensa ya Watu na Makazi ni chanzo pekee cha Takwimu za kidemografia ambazo hutumika kupanga na kufuatilia utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo Endelevu ya wananchi katika sekta zote za kiuchumi, kijamii na kimazingira  ambazo  zina mchango mkubwa katika kupunguza umaskini.

"SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022, TAYARI TUMEISHAHESABIWA."

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa