• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WAASWA KUZINGATIA MAELEKEZO

Imewekwa: August 4th, 2025

Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Bukombe Zedekia Solomoni Osano amewaasa Wasimamizi wa Uchaguzi ngazi ya kata kuhakikisha wanafuata maelekezo.

"Hakikisheni mnafuata sheria, kanuni, taratibu, miongozo pamoja na maelekezo mbalimbali yatakayotolewa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi."

Hayo ameyasema leo tarehe 04 Agost, 2025 wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya wasimamizi wa Uchaguzi ngazi ya kata yanayoendelea kufanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Halmshauri kuelekea uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge wa Jamhuri ya Muungano na Madiwani kwa Tanzania Bara utakaofanyika Oktoba, 2025.

Aidha amewataka wasimamie viapo vyao.

"Simamieni viapo vyenu vya kutunza siri  na kujitoa uanachama wa chama cha siasa katika kipindi chote cha uchaguzi."

Vile vile amewasihi kuzingatia mafunzo watakayopewa na kutoa uzoefu wa usimamizi wao wa siku za nyuma ili iwe somo katika utekelezaji wa jukumu lililopo mbele.

Mafunzo haya ya siku tatu yanajumuisha washiriki 34 kutoka kata 17 za Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe ambao ni Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata.

"Kura yako Haki yako Jitokeze Kupiga Kura"

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WAASWA KUZINGATIA MAELEKEZO

    August 04, 2025
  • “TWENDENI TUKAANZISHE UFUGAJI WA KISASA-DC MURAGILI”.

    July 29, 2025
  • DC MURAGILI AFANYA ZIARA YA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI

    July 25, 2025
  • CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO KUWANUFAISHA WAFUGAJI- DKT. KIJAJI.

    July 07, 2025
  • Tazama zote

Video

UMISSETA BUKOMBE WAAHIDI KURUDI NA USHINDI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa