• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Watendaji wa Kata Wasaini Mikataba ya Lishe

Imewekwa: October 23rd, 2022


WATENDAJI WA KATA WASAINI MIKATABA YA LISHE.

Watendaji wa kata 17 katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe  wamesaini mikataba ya lishe baina ya Mkurugenzi Mtendaji  katika kikao cha kamati ya shughuli za lishe kwa kipindi kipindi cha Julai - Septemba, 2022 lengo likiwa ni kuhakikisha watoto chini ya umri wa miaka mitano wanapata lishe bora yenye virutubisho muhimu hasa katika siku 1000 za awali za makuzi ya mtoto.

Akifungua kikao hicho Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Said Nkumba, amemtaka Mganga Mkuu  Wilaya kuhakikisha anaongeza nguvu katika usimamizi wa masuala ya lishe.

"Sisi Bukombe tumekuwa tunafanya vizuri kwenye shughuli zetu lakini kwenye suala ya lishe tumefanya vibaya kwa muda wa miaka miwili mfululizo. Mganga Mkuu hakikisha  unaongeze nguvu ya kusimamia lishe katika Wilaya yetu.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Lutengano Mwalwiba amesema kuwa ofisi yake  na ofisi ya Mganga Mkuu zimejipanga kufanya mapinduzi makubwa kwenye lishe.

" Tumejipanga kufanya mapinduzi makubwa kwani katika kipindi cha robo ya kwanza halmashauri imeishapeleka shilingi milioni 13 kwenye shughuli za lishe."

Akiwasilisha taarifa ya Tathimini ya Utekelezaji wa shughuli za Mkataba wa lishe Afisa Lishe Wilaya Said  Athuman Ally amesema kuwa kuna viashiria 9 vya mkataba wa Lishe ambavyo kata upimwa kila baada ya miezi 3 ambapo viashiria hivyo vikitekelezeka kwa asilimia miamoja halmashauri itakuwa imepambana na utapiamlo hasa katika maeneo ya kipaumbele yaliyomo katika Mkataba wa lishe ngazi ya Wilaya, kata na Vijiji.

Kwa upande wakeMganga Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Deograsia Mkapa, amewataka watendaji wa Kata kuhakikisha wanashiriki kikamilifu siku ya afya na lishe ya kijiji mara moja kwa kila robo mwaka na kubandika taarifa kwenye ofisi za vijiji. Vile vile amesisitiza kuwa katika kila kikao cha kijiji na kata agenda ya lishe iwe ndiyo agenda ya kudumu.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa