• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

wazee waazimisha siku yao

Imewekwa: October 30th, 2022

Wazee wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe wameadhimisha siku ya Wazee Duniani tarehe 31 Oktoba, 2022 lengo likiwa ni kuwakumbusha, kuwahimiza na kuwahamasisha wananchi na viongozi wote juu ya utekelezaji wa sera, Mipangi, Mikakati na Mikataba ya Kimataifa inayohusu Ustawi na Maendeleo ya wazee hapa nchini.

Akiongea katika sherehe hizo Katibu Tawala Wilaya  ya Bukombe Ndg. Paul Cheyo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya amewataka wazee hao kuhakikisha wanajiunga na Bima ya Afya iliyoboreshwa (ICHF) ili kupunguza changamoto za matibabu.

" Wazee wangu tuhakikishe tunajiunga na mfuko wa Bima ya Afya ili tuweze kupata matibabu ya uhakika mahali popote kwa kufuata utaratibu wa rufaa kwa ngazi zote za kutolea huduma kwa kiasi cha  shilingi 30,000/= kwa familia ya watu wasiozidi sita."

Naye Mganga Mkuu wa Wilaya Dr.Deograsia Mkapa alisema  Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe imeweza kuunda Mabaraza ya Wazee katika ngazi ya vijiji, kata na Wilaya kwa ajili ya wazee kutetea haki zao na kujadili changamoto zinazowakabili.

Aidha Dr.Deograsia aliendelea kusema kuwa  Idara ya Afya inakabiliwa na ufinyu wa rasilimali fedha kwa ajili ya kuendelea kuhamasisha haki za wazee, kutoa vitambulisho vya wazee na kukidhi mahitaji yote ya dawa.

Akiongea kwa niaba ya wazee wa Wilaya ya Bukombe Paul Nonga alisema wazee tulio wengi hatuna uwezo wa kujimudu kimaisha hivyo familia zinatakiwa kuendelea kututunza na matunzo ya wazee katika makazi ya wazee liwe ni Kimbilio la mwisho baada ya njia nyingine za matunzo kushindikana.

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe ina jumla ya wazee 8,499 me wakiwa  4,176 na ke 4,323 ambao wameadhimisha siku ya wazee Duniani yenye kauli mbiu isemayo " Ustahilimivu na Mchango wa Wazee ni muhimu kwa maendeleo ya Taifa." Maadhimisho hayo yamekwenda sambamba na utoaji wa huduma mbalimbali kwa wazee ambazo  ni pamoja na huduma ya upimaji wa VVU, Malaria na Sukari. Huduma ya chanjo ya UVIKO -19 na huduma ya hali ya lishe kwa kupima uwiano wa uzito na urefu pamoja na ushauri wa masuala ya lishe.

MWISHO





Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa