• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wilaya mama Bukombe yagawana Rasilimali,madeni na wilaya mpya ya Mbogwe

Imewekwa: December 21st, 2017

Leo wilayani Bukombe katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya ikiunganisha wilaya mbili za Bukombe(Mama) na Mbogwe kujadili mgawanyo wa Rasilimali na Madeni tangu kuanzishwa Wilaya mpya ya Mbogwe.Viongozi mbalimbali wa Chama Tawala (CCM) kutoka Wilaya ya Mbogwe na Wilaya ya Bukombe wamehudhuria pamoja na wakuu wa idara na vitengo na watendaji wa kata.

Katika Mkutano huo uliongozwa na Mkuu wa wilaya ya Bukombe Mhe.Josephat Maganga umegawana Rasimali  na madeni.

Pia Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe Mhe.Martha Mkupasi amesisitiza ushirikiano baina ya wilaya hizi mbili uendelee kwakuwa bado ni wa moja katika kuleta maendeleo ndani ya Mkoa wetu wa Geita

Mbunge wa Jimbo la Mbogwe Mhe.Augustino Manyanda Masele ameomba wilaya hizi mbili zishirikiane katika kuhakikisha wananchi wa wilaya  hizi wanapata maji kutoka ziwa victoria.

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Josephat Maganga akifungua kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya ikiunganisha wilaya mbili za Bukombe(Mama) na Mbogwe kujadili mgawanyo wa Rasimimali na Madeni tangu kuanzishwa wilaya mpya ya Mbogwe.

Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe Mhe. Martha Mkupasi akijitambulisha kwa Viongozi wa wilaya ya Bukombe pamoja na Watumishi wa wilaya ya Bukombe.

Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya ya Mbogwe Mhe.Johari Juma na Kulia ni Mwenyekiti wa Wilaya ya  Bukombe Mhe.Daniel Machongo.

Wakuu wa Idara na Vitengo kutoka Mbogwe wakisikiliza majadiliano ya ugawanyaji wa Rasilimali na Madeni katika Ukumbi wa Halmashauri ya Bukombe.

                                                                     Watendaji wa Kata kutoka Wilaya ya Mbogwe.

                                                                        Wakuu wa Idara na Vitengo Wilaya ya Mbogwe.

Watumishi wa mbalimbali kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa