• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Yaliyojili Leo Tarehe 27 Januari,2022.

Imewekwa: January 27th, 2022

Ufunguzi wa Mwongozo wa Mafunzo ya Miongozo na Kalenda za Utekelezaji wa Mitaala Ngazi ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari - Tanzania Bara kwa Maafisa Elimu Kata, Wakuu wa Shule na Walimu Wakuu.

*MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOMBE - LUTENGANO GEORGE MWALWIBA.*

#Mafunzo haya yakawe jawabu la kuona ni namna gani wanafunzi wetu watafundishwa kwa uwiano sawa nchi nzima.

#Mafunzo haya yakawe njia ya kufundishana, kuelekezana pamoja na kutatua changamoto za ufundishaji na ujifunzaji.

#Zungumzeni, jadilianeni kupitia mwongozo ili watoto wetu waweze kupata elimu iliyo na uwiano sawa.

#Kuweni na mjadala wa kisomi lakini kwa kufuata mwongozo.

#Watakapopimwa watoto wetu iwe rahisi kuona wanapimwa katika kile ambacho watoto wote wanapimwa.

#Naamini itakuwa ni sehemu ya kupunguza changamoto ya ufundishaji na ujifunzaji.

#Nawapongeza Idara ya Elimu Sekondari mmefanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha pili na kidato cha nne na mmeongoza Kimkoa.

#Matokeo haya yameleta hamasa ya kuona kuwa kuna kazi kubwa inayofanyika Bukombe.

#Nawapongeza Idara ya Elimu Msingi mnafanya vizuri katika usajili wa wanafunzi lakini ongezeni jitihada zaidi katika taaluma.

#Waalimu mnafanya kazi nzuri, tuendelee kushirikiana.

#Kunamaeneo ya kuboresha, nawaahidi tutaendelea kuyaboresha lakini tuhakikishe tunatimiza wajibu wetu.

#Heshima ya mtumishi yoyote ni kutimiza wajibu wake.

#Tusiwaibie wanafunzi mitihani kwani kwa kufanya hivyo tunakwenda kutengeneza Taifa la hovyo.

#Tuwafundishe na kuwapima kwa usahihi.

#Afisa Elimu Msingi na Sekondari hakikisheni mnaweka bajeti ya mafuta kwa Maafisa Elimu Kata katika mpango wa bajeti wa mwaka 2022/2023 ili waweze kufuatilia suala la ufundishaji na ujifunzaji katika shule zetu.

#Asanteni Walimu mmetuheshimisha sana katika usimamizi wa miradi ya UVIKO -19 kwani mpaka sasa kidato cha kwanza, darasa la kwanza wanavyumba vya madarasa na wanafunzi wanakaa kwenye dawati, kiti na meza.

*MTHIBITI MKUU UBORA WA SHULE WILAYA YA BUKOMBE - SELEMAN KUHANGA*

#Asante sana Mkurugenzi Mtendaji kwa kutufungulia mafunzo haya.

#Mafunzo haya yamelenga kujadili kwa kina namna bora ya kuifuata na kutumia kalenda ya utekelezaji wa mitaala shuleni ili kusaidia katika suala zima la ufundishaji na ujifunzaji.

#Mwongozo huu wa mafunzo umeandaliwa na OR- TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

Imetolewa na-:

Kitengo cha TEHAMA

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

Tarehe 27 Januari, 2022





Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa