• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Yaliyojiri Tarehe 1 Julai, 2021

Imewekwa: July 1st, 2021

#Viongozi wa Madhehebu ya Dini mmeendelea kuliombea Taifa letu la Tanzania amani,upendo na utulivu.

#Mimi kama kiongozi wa serikali natambua mchango wenu mkubwa.

#Mmekuwa na maombi mbalimbali kwani mliomba kwa dhati kwa ajili ya CORONA na umoja wa Taifa letu na katika vipindi vyote vya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu.

#Haya yote mliyafanya iliWilaya yetu iendelee kuwa tulivu.

#Mnahubiri upendo ndiyo maana taifa letu linaendelea kuwa na umoja na tunamaliza kazi zetu tukiwa salama.

#kwa niaba ya serikali ninawashukuru sana viongozi wetu wa madhehebu ya dini.

#Kwenye suala la maendeleo mnatusaidia sana na kama kuna kauli mbiu zozote za serikali mmekuwa mstari wa mbele kuzihubiri.

#Vyama vya Siasa vipo kwa mujibu wa katiba tuendelee kuwa wamoja.

#Mnakazi kubwa ya kuhamasisha wananchi katika maswala mazima ya maendeleo.

#Sitakubali kuona kiongozi wa chama chochote cha siasa anakwamisha shughuli za maendeleo.

#Maendeleo ya wanabukombe ni ya kwetu sisi sote bila kujali vyama  vyetu.

#Kinywa cha  wazee ni baraka katika jamii.

#Tunawashukuru sana kwa namna ambavyo mmelitumikia Taifa letu la Tanzania.

#Wengine hapa walikuwepo wakati wa kupigania uhuru.

#Walioingiza agenda ya wananchi kukaa kwenye vijiji vya ujamaa wapo hapa.

#Yapo mambo mengi ya msingi ambayo wazee wetu walijitoa.

#Kwa niaba ya serikali tunaendelea kuwashukuru kwa kazi kubwa ambayo mmeifanya katika kuendeleza Taifa letu.

#Tutaendelea kuwatumia katika kujali historia na kuenzi mchango mkubwa ambao mmeufanya toka enzi za Hayati Baba wa Taifa.

#Tutaendelea kuchota busara na hekima kutoka kwenu.

#Mwendelee kutusaidia, kutujenga na kutukosoa.

#Namonge kutakuwa na kituo cha Afya kikubwa kama cha Ushirombo na Uyovu.

#Hii itawasaidia wazee wetu kupata huduma karibu.

#Katika bajeti ya mwaka 2021/2022 serikali imetenga fedha za kuwahudumia wazee ambao hawana uwezo kabisa.

#Katika suala la elimu tunatalajia kuwa na sekondari za kidato cha tano na sita.

#Kwa mwaka huu tumefungua sekondari yetu ya Bukombe ili wanafunzi wanaomaliza kidato cha nne waweze kupata elimu ya kidato cha tano na sita ndani ya Wilaya yetu.

#Tulikuwa na shida za Maabara kwenye shule zetu za sekondari. Sasa tuna Maabara 7 na tumeishazizindua na zitaanza kutumika hivi karibuni.

#Haya yote ni matarajio ya Serikali ya awamu ya sita ya kuhakikisha wanafunzi wa michepuo ya sayansi wanapatikana kwa wingi ili waweze kutusaidia katika masuala mbalimbali kwenye Wilaya yetu.

#Viongozi wa vitongoji,vijiji,kata na tarafa hakikisheni katika ofisi zenu mnatenga siku ambayo mtasikiliza kero za wananchi.

#Katika uongozi wangu sitaki kuona wananchi wakitoka kwenye maeneo yao na kwenda kutafuta haki zao katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya.

#Viongozi timizeni wajibu wenu wa kuhakikisha mnasikiliza kero za wananchi.

#Tuwasikilize wananchi bila kijali hali zao na palipo na haki apewe mwenye haki.



Imetolewa na:-Kitengo cha TEHAMA

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

Tarehe 1 Julai, 2021.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa