• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Yaliyojiri Tarehe 24, February, 2023 Wakati wa Kikao cha Baraza la Waheshimiwa Madiwani Robo ya Pili

Imewekwa: February 25th, 2023

❎ MKUU WA WILAYA YA BUKOMBE MHE.SAID NKUMBA❎

#Namshukuru sana Mhe.Rais kwa Imani kubwa aliyonipatia ya kuendelea tena kuwatumikia wananchi wa Wilaya ya Bukombe.

#Mimi ni yule yule kitakachobadilika ni utendaji kazi ili kutimiza malengo ya Mhe.Rais.

#Bukombe ni eneo ambalo lipo salama, eneo ambalo watu wanafanya kazi kwa ushirikiano.

#Naipongeza sana Menejimenti kwa kazi kubwa wanazozifanya.

#Ofisi yangu inapata ushirikiano mkubwa sana kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji kupitia mambo mbalimbali.

#Napenda kuwakumbusha na kuwahimiza watendaji na watumishi kuwa uhai wa halmashauri unapimwa kwa ukusanyaji mapato, twendeni tukakusanye mapato ili kuiweka halmashauri yetu hai.

#Mtawanyiko wa mvuo siyo mzuri twendeni tukawaelekeze wananchi wetu juu ya utunzaji wa chakula na kulima mazao yanayostahimili ukame.

#Tunamshukuru Mhe.Rais kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya  Chakula (NFRA) kwa kutupatia tani 360 za mahindi na jumla ya wananchi 6,240 wamenufaika na mahindi hayo.

#Tumepunguza  kasi ya kupanda kwa bei ya mahindi kwenye Wilaya yetu.

#Mahindi bado yapo wananchi waendelee kujitokeza kuyanunua.

#Kwenye upande wa miradi ya TASAF hali si nzuri twendeni tukaisimamie ili iweze kukamilika kwa wakati na kwa kiwango kile kile ambacho serikali imekusudia.

#Maeneo ambayo hatujayakamilisha twendeni tukayakamilishe hasa zahanati ya Kiziba na Nasiluluma.

#Tukasimamie ukamilishaji wa matundu ya vyoo kwenye shule mpya katika shule ya sekondari Mwalo na Buganzu

#Kwa mwaka 2023 jumla ya wanafunzi 8428 ndiyo waliopagwa kujiunga na kidato cha kwanza.Jumla ya wanafunzi 7402 sawa na asilimia 88 ndiyo walioripoti na 1026 sawa na asilimia 12 bado hawajaripoti.

#Wanafunzi  ambao hawajaripoti shuleni  pamoja na walezi wao watambulike na nipate   orodha yao siku ya Jumatatu.

#Wanafunzi wote waende shule kabla hatua stahiki hazijachukuliwa.

#Tumetoa muda mrefu sasa imetosha.

#Tunataka watoto wote waende shule.

#Matukio ya kuiba na kuvunja nyumba za wananchi yamekuwatishio

#Kamati za kata za usalama kaeni kwa kushirikiana na jeshi la polisi ili kudhibiti hali ya uhalifu katika Wilaya yetu.

#Tunataka Wilaya salama


❎ MWENYEKITI WA KAMATI YA SIASA WILAYA MATONDO KIHANDA LUTONJA❎

#Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Baraza za Waheshimiwa Madiwani na Uongozi wa Halmashauri   kwa kuendelea kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi katika Wilaya yetu.

#Mmeweza kusimamia ipasavyo suala la ukusanyaji wa mapato na kutoa  mikopo yenye thamani ya kiasi cha  shilingi  222,290,973.30 hongereni sana.


❎ MWENYEKITI WA HALMASHAURI MHE.YUSUPH MOHAMED YUSUPH❎

#Viongozo wenzangu nawashukuru kwa ushirikiano mliyouonyesha wakati wa kikao chetu cha baraza 

#Katika suala la usimamizi wa miradi ya maendeleo Watendaji wa halmashauri kasimamieni miradi ya SWASH kwani miradi hii  ni ya muda mrefu tunataka ifikie hitimisho ili iweze kutoa huduma iliyokusudiwa.


❎ MKURUGENZI MTENDAJI LUTENGANO G.MWALWIBA❎

#Nitumie nafasi hii kukupongeza Mhe.Mkuu wa Wilaya kwa kuaminiwa na Mhe.Rais na kuteuliwa tena kuendelea kuwatumikia wananachi wa Bukombe.

#Tutaendelea kukupa ushilikiano ili tuweze kuiletea maendeleo halmashauri yetu.

#Mheshimiwa Mwenyekiti kupitia baraza lako tunaahidi kufanya kazi  kwa nguvu zaidi na kuboresha pale panapoonekana hatufanya vizuri.

#Katika suala la ukusanyaji wa mapato tunaahidi kuongeza nguvu hasa kwenye upande wa leseni za biashara ili tuweze kutoa huduma bora kwa wananchi na kwa wakazi wa Wilaya ya Bukombe.


Imetolewa na :-

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini 

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe 

Tarehe 25 February, 2023.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa