• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Yaliyojiri Wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Nusu Muhura wa Chama Cha Walimu

Imewekwa: October 21st, 2022

AFISA TAWALA  ALLY MKETO

✳️Nipo hapa kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe Said Nkumba. Mkuu wenu wa Wilaya anawapenda sana.

✳️Nawapongeza Walimu kwa kazi nzuri mnazozifanya hasa kwa matokeo mazuri kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha sita.

✳️Mmetuheshimisha kwa kututoa mkiani na kutupeleka kileleni.

✳️Tuendelee kuongoza ili sifa yetu ya kufaulisha ibaki pale pale

✳️Tunamshukuru Rais wetu kwa kutuletea Mabilioni ya fedha katika sekta ya elimu.

✳️Lengo ni kuhakikisha  kuwa watoto watakaochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2023 wote wanakwenda shule

✳️Tumuunge mkono Rais wetu na  tuendelee kumuombea ili Mungu aendelee kumpa afya njema.

✳️Miaka ya nyuma tulikwama katika zoezi la upandishaji madaraja kwa walimu.

✳️Mpaka sasa walimu wote wameishapandishwa madaraja yao.

✳️Amefanikisha kuongeza mshahara kwa asilimia 23.3 kwa watumishi wa kima cha chini 

✳️Tumuunge mkono Rais wetu kwa kufanya kazi kwa juhudi,  maalifa pamoja na kwa weredi uliotukuka.

✳️Ualimu ndiyo Taaluma yenye heshima.

✳️Mwalimu pekee ndiye anayeweza kutengeneza jamii nzuri na yenye heshima.

✳️Walimu tuzingatie sheria, taratibu na kanuni za ualimu ili kujiepusha na utovu wa nidhamu mahali pa kazi.


MWENYEKITI WA CHAMA CHA WALIMU WILAYA JOHN JOSEPH LUKIKO

✳️Tunawakaribisha sana katika mkutano wetu wa nusu muhula Januari 2020 - Septemba 2022.

✳️Tunakushukuru Afisa Tawala Wilaya kuja kutufungulia Mkutano wetu kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya.

✳️Tunamuomba Afisa Utumushi Wilaya bajeti ijayo iongezwe kwa ajili ya  kuwaendeleza waalimu kitaaluma  ili walimu wengi wapate nafasi.

✳️Suala la uhamisho kwa walimu lipewe kipaombele ili kuongeza ufanisi wa kazi kwa walimu.


AFISA UTUMISHI WILAYA MAJAGA TANDASI

✳️Tunamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutupatia shilingi Milioni  300 ikiwa ni mkopo kwa watumishi.

✳️Walimu wote wenye vigezo vya kukopa na walioomba watapatiwa mkopo huo.

✳️Walimu hakikisheni mnajaza fomu za OPRAS ili muweze kupimwa utendaji kazi na kuweza kupanda madaraja kwa wakati.

✳️Hakikisheni mnajaza vizuri fomu za malimbikizo ya mishahara ili muweze kulipwa stahiki zenu kwa wakati.

✳️Walimu tuchepe kazi na kazi zetu zionekane kwa vitendo.

✳️Mwalimu nguvu moja, Sauti moja.



Imetolewa na 

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

Tarehe 21 Oktoba, 2022.


Wajumbe wa Mkutano Chama Cha Walimu


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa